Pluijm ampa siku 14 Tambwe
![](http://api.ning.com:80/files/dj7KjSQgc-Q0IC036mDoEYIMEP5zW*0nsJ0zA7*M7vH4ogVQXdJqGIZnL7o7c8Hbm2qT5oOFDegDqPJiq6R9pqM-q7DScrIr/hfhh.jpg?width=650)
Amissi Tambwe. Na Hans Mloli KATIKA kuhakikisha kikosi chake kinafanya vizuri msimu ujao, Kocha wa Yanga, Mdachi, Hans van Der Pluijm, amekuja na mipango mizito ikiwemo ya kutenga siku 14 za kukaa na wachezaji wake nje ya Mji wa Dar es Salaam, siku chache kabla ya kuanza kwa ligi kwa ajili ya kuwapatia ‘silaha’ nzitonzito. Pluijm ameliambia Championi Jumatatu kuwa anajua msimu ujao utakuwa mgumu na utachangamka...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo10 Dec
Tambwe ampa raha Pluijm
KOCHA wa Yanga Hans van der Pluijm, amesema kupona kwa mshambuliaji wake Mrundi Amissi Tambwe, kumeongeza matumaini ya kushinda mechi ya Jumamosi dhidi ya Mgambo JKT Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Pluijm, Tambwe wakamiana
9 years ago
Habarileo08 Nov
Pluijm awafagilia Tambwe, Busungu
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van Pluijm, amewakingia kifua washambuliaji wa timu hiyo, Amis Tambwe na Malimi Busungu na kusema kwamba hajali kama hawajafunga kwenye mechi za karibuni.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vanfKzplWu-qeRd4s-FNH0PAwI3NBDfAtPiHFD81gR3OLus*65kQunDB9WQfTeecH4NqfSQuBX-Y3mZWFoVZTZ-4m*1rUI-Z/p.jpg)
Pluijm: Tambwe, Sherman wataongoza maangamizi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Jn0HiigvFFxzV*QnfI*9ni8WAKGL1o0TcWV8n5yb8QimU9XKapDTA1PSO3nU9Q037jvT0RrqUmjmviwpNaT9EvDB9q98npB4/PLUIJM.jpg)
Pluijm: Tambwe atakuwa mfungaji bora
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx*CsUdTgRfFlgCdh*0otfdsJQ34Ca57ROosPLpAtMOZJ15FyD*EG1*q5EYe3ihFw06EghtGDzky5W64VmQzpGIn/2.gif?width=650)
Pluijm ampa ulaji Mkwasa atimkia Uarabuni
9 years ago
Habarileo11 Nov
Kocha Pluijm ampa nafasi Samatta Ulaya
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amempongeza mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta kwa kuiwezesha TP Mazembe kushinda taji la Ligi ya Mabingwa Afrika na kumshauri sasa ni wakati wake wa kucheza soka la kulipwa Ulaya.
10 years ago
Vijimambo12 Oct
WAZIRI MKUU AMPA DED UYUI SIKU 60 KUHAMA NA TIMU YAKE
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/10/PG4A5153.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/10/PG4A5158.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-d1VcTAykja8/XncGTf2lk3I/AAAAAAALkrU/inxdFQ3ggOI8vTsCben0r6NEYyiELDNXACLcBGAsYHQ/s72-c/0809acc4-02b1-436e-ab6b-170b58a53eb1.jpg)
DC NDEJEMBI AMPA SIKU SABA MKANDARASI ALIYECHELEWESHA MRADI WA MAJI KUMPA MAELEZO
MKUU wa Wilaya ya Kongwa, Mhe Deo Ndejembi amemuagiza Mhandisi wa Maji wilaya kuanza kumkata kiasi cha fedha anachodai za siku 100 mkandarasi anaejenga mradi wa maji wa kijiji cha Mihingo.
Mradi huo unagharimu kiasi cha Sh Milioni 600 unajengwa na serikali katika kumaliza changamoto ya maji kijijini hapo lakini pia ukienda na sera ya Rais Magufuli ya kumtua ndoo mama kichwani lakini mpaka sasa umekua ukisuasua.
Baada ya kufika katika mradi huo na kujionea maendeleo...