Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pluijm: Tambwe atakuwa mfungaji bora

Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Na Omary Mdose
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, amewashangaa wanaosema kuwa mshambuliaji wake, Mrundi, Amissi Tambwe hawezi kuwa mfungaji bora katika Ligi Kuu Bara, msimu huu. Tambwe ambaye amejiunga na Yanga akitokea Simba ikiwa ni siku moja kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Desemba 15, mwaka jana, alikuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Tambwe amfikia mfungaji bora msimu uliopita

Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe . Na Phillip Nkini
ZIKIWA zimebaki mechi saba ili Ligi Kuu ya Tanzania Bara imalizike, mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe, ameshafikisha idadi ya mabao yaliyofungwa na Kipre Tchetche, msimu uliopita. Kipre, msimu uliopita alikuwa mfungaji bora baada ya kufunga mabao 17 kwenye ligi kuu, lakini mabao mawili ambayo Tambwe alifunga jana yameshamfanya afikie idadi hiyo. Hii ni rekodi mpya...

 

10 years ago

GPL

Mfungaji bora Caf anakuja Yanga

Mshambuliaji nyota wa AS Vita, Firmin Ndombe Mubele. Na Mwandishi Wetu
KLABU kongwe ya Yanga imesisitiza lazima ipate mshambuliaji wa kucheka na nyavu na zoezi hilo litakamilika kabla ya Desemba 15, siku ya mwisho ya dirisha dogo.Yanga imetega rada zake katika nchi zaidi ya nne, lakini inaonekana nguvu imeanza kwa mshambuliaji nyota wa AS Vita, Firmin Ndombe Mubele ambaye ni mfungaji bora wa Ligi ya Mabingwa Afrika, akifunga...

 

9 years ago

Bongo5

Samatta awa mfungaji bora, TP Mazembe yachukua ubingwa wa Afrika

Mbwana

Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imechukua kombe la michuano ya mabingwa wa Afrika baada ya kuifunga mabao 2-0 USM Alger ya Algeria kwenye fainali zilizochezwa jana mjini Lubumbashi.

Mbwana
Samatta alifunga bao moja kwenye mechi hiyo na kufikisha mabao saba yaliyomfanya kuwa mfungaji bora wa michuano hiyo.

Samatta aliyezaliwa Januari 7, 1992 anacheza kama mshambuliaji kwenye klabu hiyo yenye makazi yake mjini Lubumbashi.

Mchezaji huyo anajulikana kutokana na magoli saba...

 

11 years ago

Mwananchi

Pluijm, Tambwe wakamiana

>Kocha  wa Yanga, Hans van Pluijm na mshambuliaji wa Simba, Amis Tambwe kila moja amejigamba kuhakikisha klabu yake inamaliza msimu kwa kupata ushindi katika mchezo  wa mwisho baina ya timu hizo.

 

9 years ago

Habarileo

Pluijm awafagilia Tambwe, Busungu

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van Pluijm, amewakingia kifua washambuliaji wa timu hiyo, Amis Tambwe na Malimi Busungu na kusema kwamba hajali kama hawajafunga kwenye mechi za karibuni.

 

9 years ago

Habarileo

Tambwe ampa raha Pluijm

KOCHA wa Yanga Hans van der Pluijm, amesema kupona kwa mshambuliaji wake Mrundi Amissi Tambwe, kumeongeza matumaini ya kushinda mechi ya Jumamosi dhidi ya Mgambo JKT Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

10 years ago

GPL

Pluijm ampa siku 14 Tambwe

Amissi Tambwe. Na Hans Mloli
KATIKA kuhakikisha kikosi chake kinafanya vizuri msimu ujao, Kocha wa Yanga, Mdachi, Hans van Der Pluijm, amekuja na mipango mizito ikiwemo ya kutenga siku 14 za kukaa na wachezaji wake nje ya Mji wa Dar es Salaam, siku chache kabla ya kuanza kwa ligi kwa ajili ya kuwapatia ‘silaha’ nzitonzito. Pluijm ameliambia Championi Jumatatu kuwa anajua msimu ujao utakuwa mgumu na utachangamka...

 

10 years ago

GPL

Pluijm: Tambwe, Sherman wataongoza maangamizi

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm. Na Said Ally
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm ametamka wazi kuwa ataendelea kutumia mfumo wa kutumia mastraika watatu katika michezo mbalimbali ya timu hiyo kama alivyofanya katika mchezo dhidi ya Azam FC kutokana na kuhitaji kikosi hicho kupata ushindi wa mabao mengi katika kila mchezo wake. Yanga ilionekana kucheza kwa kufanya mashambululizi mengi katika mechi dhidi ya Azam, wikiendi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani