Mfungaji bora Caf anakuja Yanga
Mshambuliaji nyota wa AS Vita, Firmin Ndombe Mubele. Na Mwandishi Wetu KLABU kongwe ya Yanga imesisitiza lazima ipate mshambuliaji wa kucheka na nyavu na zoezi hilo litakamilika kabla ya Desemba 15, siku ya mwisho ya dirisha dogo.Yanga imetega rada zake katika nchi zaidi ya nne, lakini inaonekana nguvu imeanza kwa mshambuliaji nyota wa AS Vita, Firmin Ndombe Mubele ambaye ni mfungaji bora wa Ligi ya Mabingwa Afrika, akifunga...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLPluijm: Tambwe atakuwa mfungaji bora
11 years ago
GPLTambwe amfikia mfungaji bora msimu uliopita
9 years ago
Bongo509 Nov
Samatta awa mfungaji bora, TP Mazembe yachukua ubingwa wa Afrika
Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imechukua kombe la michuano ya mabingwa wa Afrika baada ya kuifunga mabao 2-0 USM Alger ya Algeria kwenye fainali zilizochezwa jana mjini Lubumbashi.
Samatta alifunga bao moja kwenye mechi hiyo na kufikisha mabao saba yaliyomfanya kuwa mfungaji bora wa michuano hiyo.
Samatta aliyezaliwa Januari 7, 1992 anacheza kama mshambuliaji kwenye klabu hiyo yenye makazi yake mjini Lubumbashi.
Mchezaji huyo anajulikana kutokana na magoli saba...
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Samatta katika orodha ya 3 bora ya CAF
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Samatta kuwania tuzo ya mchezaji bora wa CAF
9 years ago
Bongo515 Dec
Mbwana Samatta aingia orodha ya 3 bora ya CAF
Mshambuliaji wa Taifa Stars ya Tanzania na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mbwana Samatta ametangazwa katika orodha ya wachezaji watatu bora na shirikisho la soka la Afrika CAF wanaocheza soka barani Afrika.
Samatta anashindana na wachezaji wengine wawili Baghdad Boundjah wa Algeria na Etoile du Sahel na Kipa machachari wa TP Mazembe ya DR Congo Robert Kidiaba.
Mshindi atachaguliwa na makocha wa timu za taifa na kutangazwa katika dhifa maalum Januari tarehe 7 mwakani.
CAF...
10 years ago
VijimamboDIAMOND ATEULIWA KUTUMBUIZA TUZO ZA MWANASOKA BORA CAF
Wanaowania tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika:
1. Ahmed...
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
CAF yatangaza majina ya wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji Bora Afrika 2015
Mmoja wa wachezaji wanaowania tuzo za Caf mwaka huu, Andrew Ayew.
Shirikisho la Soka barani Africa limeyataja majina 10 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora barani Afrika kwa mwaka wa 2015. Katika majina hayo pia ameorodheshwa mchezaji bora kwa mwaka 2014, Mchezaji wa timu ya taifa ya Ivory Coast na klabu ya Mnachester City.
Kwa upande wa taifa nchi ya Algeria na Ivory Coast yamefanikiwa kuingiza wachezaji wawili kila moja kwa upande wa Algeria wachezaji ambao wameingia katika...