Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND ATEULIWA KUTUMBUIZA TUZO ZA MWANASOKA BORA CAF

Msani Nasib Abdul ‘Diamond’ amechaguliwa kuwa mmoja wa wasanii watakaotumbuiza kwenye hafla ya utoaji tuzo za mwanasoka bora Afrika 2014.Diamond atatumbuiza katika tuzo hizo ambazo wachezaji 25 nyota barani Afrika wamechaguliwa kugombea tuzo hizo. Hafla hiyo itafanyika Januari 8, 2015 jijini Lagosi Nigeria. Mwanasoka Bora, Yaya Toure raia wa Ivory anayeitumikia Manchester City ya England ni kati ya watakaowania nafasi hiyo. 



Wanaowania tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika:


1.    Ahmed...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mbwana Samatta ateuliwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika, ni wachezaji wanaocheza soka la ndani

Mshambuliaji wa Taifa Stars na klabu ya TP Mazembe ya DR Congo, Mbwana Samatta ameteuliwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika inayowahusu wachezaji wanaochezea vilabu vya ndani ya Afrika. Orodha hiyo imetolewa jana Jumapili na shirikisho la soka barani Afrika, CAF. Samatta aliiwezesha TP Mazembe hivi karibuni kuingia kwenye fainali ya michuano ya mabingwa […]

 

10 years ago

GPL

DIAMOND NDANI YA LAGOS, AKAGUA JUKWAA ATAKALOPAFOMU KESHO KWENYE TUZO ZA MWANASOKA BORA AFRIKA

Mwanamuziki Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akilikagua jukwaa atakapopiga shoo hapo kesho kwenye zoezi la utoaji tuzo za Mchezaji Bora wa Afrika katika Jiji la Lagos nchini Nigeria. (Picha na Facebook)

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA MAKAMUZI KATIKA UTOAJI TUZO ZA MWANASOKA BORA WA AFRIKA NCHINI NIGERIA LEO

Diamond Platnumz akifurahia jambo na mmoja wa wasanii wa Kundi la P Square, Peter Okoye wakati akijiandaa kwa ajili ya shoo yake ya leo nchini Nigeria. Diamond akibadilishana mawazo na mwanamuziki Fally Ipupa jijini…

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND NDANI YA LAGOS NCHINI NIGERIA, AKAGUA JUKWAA ATAKALOPAFOMU KESHO KWENYE TUZO ZA MWANASOKA BORA AFRIKA

Mwanamuziki Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akilikagua jukwaa atakapopiga shoo hapo kesho kwenye zoezi la utoaji tuzo za Mchezaji Bora wa Afrika katika Jiji la Lagos nchini Nigeria.

 

9 years ago

Habarileo

Samatta awania tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika

MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mbwana Samatta ni miongoni mwa wachezaji 10 wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa mwaka kwa wachezaji wanaocheza soka Afrika.

 

11 years ago

GPL

SUAREZ ABEBA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWAKA

Mchezaji Bora wa Mwaka, Luis Suarez akisherehekea tuzo yake ya Shirikisho ya Mashabiki wa Soka, akiwa na mkewe Sofia. Suarez akisherehekea tuzo yake Uwanja wa Emirates. MSHAMBULIAJI Luis Suarez ametajwa mchezaji bora wa mwaka wa tuzo ya Shirikisho la Mashabiki wa Soka jana usiku akiwapiku Leighton Baines, Christian Benteke, Juan Mata, Robin van Persie na Pablo Zabaleta kushinda tuzo hiyo iliyohusisha wapiga kura zaidi ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Watano kuwania tuzo ya mwanasoka bora Afrika 2015

Wagombea watano wa tuzo la BBC kwa mwanasoka bora wa mwaka 2015 wametangazwa kwenye hafla maalum iliyoandaliwa Johannesburg.

 

10 years ago

Bongo5

Cristiano Ronaldo achukua tuzo ya mwanasoka bora wa Ulaya

Mchezaji nyota wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo usiku wa kuamkia leo mjini Monaco, Ufaransa amekabidhiwa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Ulaya. Christiano Ronaldo baada ya kushinda tuzo Wachezaji ambao alikuwa akishindanao katika kinyang’anyiro hicho ni mchezaji wa Bayern Munich, kipa Mjerumani Manuel Neuer na winga Mholanzi Arjen Robben pamoja na Ronaldo (katikati) akifurahia […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Toure ashinda tuzo ya BBC ya mwanasoka bora Afrika

Yaya Toure ametangazwa mshindi wa Tuzo ya BBC ya Mwanasoka Bora wa Afrika wa Mwaka 2015, katika mwaka ambao alianza kwa kuongoza Ivory Coast kutwaa ubingwa Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani