Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cristiano Ronaldo achukua tuzo ya mwanasoka bora wa Ulaya

Mchezaji nyota wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo usiku wa kuamkia leo mjini Monaco, Ufaransa amekabidhiwa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Ulaya. Christiano Ronaldo baada ya kushinda tuzo Wachezaji ambao alikuwa akishindanao katika kinyang’anyiro hicho ni mchezaji wa Bayern Munich, kipa Mjerumani Manuel Neuer na winga Mholanzi Arjen Robben pamoja na Ronaldo (katikati) akifurahia […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Messi awashinda Ronaldo na Suarez tuzo ya mwanasoka bora Ulaya

Mchezaji wa Barcelona, Lionel Messi jana August 27 alishinda tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka wa Ulaya msimu wa 2014-15 baada ya kuwashinda Cristiano Ronaldo na mchezaji mwenzake wa Barca, Luis Suarez. Messi ameshinda tuzo hiyo kwa mara ya pili katika sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Monte Carlo mjini Monaco, Ufaransa jioni baada ya kupangwa […]

 

11 years ago

GPL

CRISTIANO RONALDO MCHEZAJI BORA ULAYA

Mchezaji nyota wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo akibusu tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Ulaya baada ya kukabidhiwa usiku wa kuamkia leo mjini Monaco, Ufaransa. Cristiano Ronaldo akifurahia.…

 

10 years ago

GPL

RONALDO MWANASOKA BORA WA DUNIA 2014

Mchezaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo akiwa na tuzo ya Ballon d'Or baada ya kutangazwa na FIFA kuwa Mwanasoka Bora wa mwaka 2014. Cristiano Ronaldo (kushoto) akisalimiana na Rais wa UEFA,  Michel Platini.…

 

10 years ago

Bongo5

Nani kuibuka mwanasoka bora? Ni Ronaldo, Messi au Neuer?

Fifa imetoa orodha ya mwisho ya wachezaji watatu wanaowania tuzo ya mwanasoka bora duniani maarufu kwa jina la FIFA Ballon d’Or 2014. Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na Manuel Neuer ndio wachezaji walioteuliwa kuwania tuzo ya FIFA Ballon d’Or 2014. Watatu hao ndiyo wameingia fainali na mshindi atapatikana Januari 12, 2015. Wachezaji hao ni Cristiano Ronaldo […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Cristiano Ronaldo atwaa tuzo ya BBC.

Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya mwanamichezo bora wa mwaka wa shirika la utangazaji la BBC.

 

9 years ago

Bongo5

Lionel Messi amgalagaza Cristiano Ronaldo kwenye tuzo za La Liga

Ronaldo-Messi

Lionel Messi ametajwa kama mchezaji bora na kumpiku Cristiano Ronaldo kwenye tuzo za kila mwaka za La Liga zilizotolewa jijini Barcelona, Jumatatu hii.

Ronaldo-Messi

Tuzo hizo zilizotolewa siku moja ambayo wawili hao pia walitajwa kwenye majina yaliyochujwa kwenye tuzo ya Ballon d’Or ilikuwa moja kati ya mbili zilizochukuliwa na staa huyo wa Argentina.

Naye kocha wa Barcelona, Luis Enrique alitajwa kama kocha wa mwaka.

Messi pia alishinda mshambuliaji bora huku Neymar akishinda mchezaji bora wa...

 

10 years ago

Habarileo

Samatta awania tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika

MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mbwana Samatta ni miongoni mwa wachezaji 10 wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa mwaka kwa wachezaji wanaocheza soka Afrika.

 

11 years ago

GPL

SUAREZ ABEBA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWAKA

Mchezaji Bora wa Mwaka, Luis Suarez akisherehekea tuzo yake ya Shirikisho ya Mashabiki wa Soka, akiwa na mkewe Sofia. Suarez akisherehekea tuzo yake Uwanja wa Emirates. MSHAMBULIAJI Luis Suarez ametajwa mchezaji bora wa mwaka wa tuzo ya Shirikisho la Mashabiki wa Soka jana usiku akiwapiku Leighton Baines, Christian Benteke, Juan Mata, Robin van Persie na Pablo Zabaleta kushinda tuzo hiyo iliyohusisha wapiga kura zaidi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani