Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CRISTIANO RONALDO MCHEZAJI BORA ULAYA

Mchezaji nyota wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo akibusu tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Ulaya baada ya kukabidhiwa usiku wa kuamkia leo mjini Monaco, Ufaransa. Cristiano Ronaldo akifurahia.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Cristiano Ronaldo achukua tuzo ya mwanasoka bora wa Ulaya

Mchezaji nyota wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo usiku wa kuamkia leo mjini Monaco, Ufaransa amekabidhiwa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Ulaya. Christiano Ronaldo baada ya kushinda tuzo Wachezaji ambao alikuwa akishindanao katika kinyang’anyiro hicho ni mchezaji wa Bayern Munich, kipa Mjerumani Manuel Neuer na winga Mholanzi Arjen Robben pamoja na Ronaldo (katikati) akifurahia […]

 

10 years ago

Mwananchi

Ronaldo mchezaji bora wa Ulaya

Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amefanikiwa kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ulaya kwa kuwapiku nyota wa Bayern Munich, Manuel Neuer na Arjen Robben.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ronaldo Mchezaji bora wa dunia 2013

Mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Christiano Ronaldo jana usiku alinyakua tuzo ya mchezajii bora wa soka wa fifa wa mwaka 2013.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ronaldo Ajigamba ndiye mchezaji bora

Mimi ndiye mchezaji bora ulimwenguni, amejigamba Cristiano Ronaldo. Mreno huyo mwenye miaka 30 ambaye ni mshindi mara tatu wa mchezaji bora wa dunia

 

9 years ago

Bongo5

Mimi ndiye mchezaji bora wa soka duniani — Ronaldo

cristiano-ronaldo-553153

Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amedai kuwa yeye ndiye mchezaji bora ulimwenguni.

cristiano-ronaldo-553153

Mchezaji huyo raia wa Ureno, 30, ambaye ni mshindi mara tatu wa mchezaji bora wa dunia na mfungaji bora wa Real Madrid ameiambia BBC.

“Sihitaji kusema, niko katika historia ya mpira, mimi ni legend. Namba zinasema kila kitu,” alisema.

Ronaldo ambaye alijiunga Real akitokea Manchester United mwaka 2009 kwa kitita cha auni milioni 80 amesema amefikia kiwango kiwango cha kushangaza kwa kipindi cha...

 

9 years ago

MillardAyo

List ya wachezaji 10 bora wa Marca 2015 imetoka, Cristiano Ronaldo amekuwa wa tatu kutoka mwisho, icheki hapa …

Mwaka 2015 ni umekuwa ni mwaka wa mafanikio kwa klabu ya FC Barcelona ya Hispania kwani imefanikiwa kutwaa mataji matano, FC Barcelona ambayo inatajwa kuwa ni timu namba moja kwa ubora duniani, kwa mwaka 2015 imefanikiwa kutwaa mataji ya Copa del Rey, European Super Cup, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na Klabu Bingwa Dunia, wachezaji wake sita […]

The post List ya wachezaji 10 bora wa Marca 2015 imetoka, Cristiano Ronaldo amekuwa wa tatu kutoka mwisho, icheki hapa … appeared first on...

 

9 years ago

GPL

LIONEL MESSI MCHEZAJI BORA ULAYA

Mchezaji Bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya,  Lionel Messi. MONACO, Ufaransa LIONEL Messi ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na kumpiku Cristiano Ronaldo katika tuzo zilizotolewa jana ambazo pia dunia ilishuhudia Manchester United ikirejea kwenye michuano hiyo hatua ya makundi. Messi, staa wa Barcelona, aliingia hatua ya fainali ya tuzo hizo pamoja na straika wa timu yake, Luis Suarez pamoja na Ronaldo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani