Mimi ndiye mchezaji bora wa soka duniani — Ronaldo
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amedai kuwa yeye ndiye mchezaji bora ulimwenguni.
Mchezaji huyo raia wa Ureno, 30, ambaye ni mshindi mara tatu wa mchezaji bora wa dunia na mfungaji bora wa Real Madrid ameiambia BBC.
“Sihitaji kusema, niko katika historia ya mpira, mimi ni legend. Namba zinasema kila kitu,” alisema.
Ronaldo ambaye alijiunga Real akitokea Manchester United mwaka 2009 kwa kitita cha auni milioni 80 amesema amefikia kiwango kiwango cha kushangaza kwa kipindi cha...
Bongo5
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania