Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LIONEL MESSI MCHEZAJI BORA ULAYA

Mchezaji Bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya,  Lionel Messi. MONACO, Ufaransa LIONEL Messi ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na kumpiku Cristiano Ronaldo katika tuzo zilizotolewa jana ambazo pia dunia ilishuhudia Manchester United ikirejea kwenye michuano hiyo hatua ya makundi. Messi, staa wa Barcelona, aliingia hatua ya fainali ya tuzo hizo pamoja na straika wa timu yake, Luis Suarez pamoja na Ronaldo wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ronaldo mchezaji bora wa Ulaya

Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amefanikiwa kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ulaya kwa kuwapiku nyota wa Bayern Munich, Manuel Neuer na Arjen Robben.

 

10 years ago

GPL

CRISTIANO RONALDO MCHEZAJI BORA ULAYA

Mchezaji nyota wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo akibusu tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Ulaya baada ya kukabidhiwa usiku wa kuamkia leo mjini Monaco, Ufaransa. Cristiano Ronaldo akifurahia.…

 

9 years ago

Bongo5

Messi awashinda Ronaldo na Suarez tuzo ya mwanasoka bora Ulaya

Mchezaji wa Barcelona, Lionel Messi jana August 27 alishinda tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka wa Ulaya msimu wa 2014-15 baada ya kuwashinda Cristiano Ronaldo na mchezaji mwenzake wa Barca, Luis Suarez. Messi ameshinda tuzo hiyo kwa mara ya pili katika sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Monte Carlo mjini Monaco, Ufaransa jioni baada ya kupangwa […]

 

11 years ago

Bongo5

FIFA yataja wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kombe la dunia 2014 ‘World Cup Golden Ball Award’, Neymar na Messi waingia

Nyota wa Argentina Lionel Messi na nyota wa Brazil, Neymar ni miongoni mwa wachezaji 10 bora katika michuano ya mwaka huu, waliotajwa kuwania nafasi ya kuwa mchezaji bora wa Kombe la dunia 2014. FIFA jana jioni (July 11) imetoa orodha ya majina ya wachezaji 10 waliotajwa kuwania tuzo hiyo. Wachezaji wengine 7 kwenye orodha hiyo […]

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

TheCitizen

BRAZIL 2014: It is now or never for Lionel Messi

Very secure to the point that what he hasn’t done must not be used to put him down. It is why this World Cup is Lionel Messi’s to lose, a struggling Argentine side notwithstanding. In fact Messi is the one player with most to lose in Brazil.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Lionel Messi atavunja rekodi zote’

. “Lionel Messi anaweza kuvunja rekodi yoyote iliyokuwa kichwani mwake,” kwa mujibu wa kocha Barcelona, Gerardo Martino baada ya kumshuhudia nyota wa Argentina akiwa mchezaji watatu kwa wachezaji waliofunga mabao mengi La Liga.

 

10 years ago

Mwananchi

Lionel Messi, Neymar waizamisha Bayern

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Hispania, Barcelona wametumbukiza mguu mmoja katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Bayern Munich.

 

9 years ago

Mtanzania

Lionel Messi amgaragaza Ronaldo tuzo za Globe

MessiEMIRATES, DUBAI

NYOTA wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi, amemgaragaza mpinzani wake, Cristiano Ronaldo wa Real Madrid katika tuzo za Globe Soccer, ambapo Messi amefanikiwa kuchukua mchezaji bora wa mwaka.

Tuzo hizo ambazo zimetolewa juzi mjini Dubai, Messi aliibuka kinara wa tuzo hizo huku Ronaldo akishika nafasi ya pili.

Wakati huo huo, klabu ya Barcelona ilifanikiwa kuchukua klabu bora ya mwaka kutokana na kukusanya mataji mengi msimu uliopita, huku Josep Bartomeu akichukua rais bora wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani