Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ronaldo Ajigamba ndiye mchezaji bora

Mimi ndiye mchezaji bora ulimwenguni, amejigamba Cristiano Ronaldo. Mreno huyo mwenye miaka 30 ambaye ni mshindi mara tatu wa mchezaji bora wa dunia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mimi ndiye mchezaji bora wa soka duniani — Ronaldo

cristiano-ronaldo-553153

Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amedai kuwa yeye ndiye mchezaji bora ulimwenguni.

cristiano-ronaldo-553153

Mchezaji huyo raia wa Ureno, 30, ambaye ni mshindi mara tatu wa mchezaji bora wa dunia na mfungaji bora wa Real Madrid ameiambia BBC.

“Sihitaji kusema, niko katika historia ya mpira, mimi ni legend. Namba zinasema kila kitu,” alisema.

Ronaldo ambaye alijiunga Real akitokea Manchester United mwaka 2009 kwa kitita cha auni milioni 80 amesema amefikia kiwango kiwango cha kushangaza kwa kipindi cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Ronaldo mchezaji bora wa Ulaya

Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amefanikiwa kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ulaya kwa kuwapiku nyota wa Bayern Munich, Manuel Neuer na Arjen Robben.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ronaldo Mchezaji bora wa dunia 2013

Mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Christiano Ronaldo jana usiku alinyakua tuzo ya mchezajii bora wa soka wa fifa wa mwaka 2013.

 

10 years ago

GPL

CRISTIANO RONALDO MCHEZAJI BORA ULAYA

Mchezaji nyota wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo akibusu tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Ulaya baada ya kukabidhiwa usiku wa kuamkia leo mjini Monaco, Ufaransa. Cristiano Ronaldo akifurahia.…

 

11 years ago

BBCSwahili

Suarez ndiye mchezaji bora katika EPL

Mshambulizi wa Liverpool Luis Suarez ni mchezaji bora msimu huu nchini Uingereza.

 

9 years ago

Michuzi

Hamisi Kiiza ndiye mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Septemba.

Mshambuliaji wa timu ya Simba, Hamisi Kiiza ndiye mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Septemba.Kwa kuibuka mchezaji bora, Kiiza atazawadiwa sh. milioni moja kutoka kwa mdhamini wa Ligi hiyo, kampuni ya Vodacom.Kiiza ambaye ameisadia Simba kufanya vizuri kwenye mwezi huo, ikiwemo kufunga mabao matatu (hat trick) kwenye mechi dhidi ya Kagera Sugar aliwashinda washambuliaji wa timu za Stand United, Elias Maguli,  na Yanga, Amisi Tambwe.Ndani ya mwezi Septemba ambapo zilichezwa raundi...

 

9 years ago

Bongo5

Thierry Henry amtaja Paul Scholes kuwa ndiye mchezaji bora wa muda wote katika ligi kuu England

Mchezaji soka na gwiji wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Thierry Henry amewafanya watu kubaki na mshangao kwa kumtaja kiungo wa zamani wa England na Manchester United, Paul Scholes kuwa ndiye mchezaji bora aliyewahi kukutana naye katika historia ya Premier League. Henry alijibu swali hilo katika interview moja na Sky Sport, […]

 

9 years ago

BBCSwahili

'Hakuna bora kama mimi',Mourinho ajigamba

Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho amesisitiza kuwa yeye ni bora kushinda yeyote yule katika kuifunza kilabu hiyo licha ya mabingwa hao watetezi wa ligi ya Uingereza kushindwa vibaya katika kipindi cha miaka 29.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani