Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tambwe amfikia mfungaji bora msimu uliopita

Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe . Na Phillip Nkini
ZIKIWA zimebaki mechi saba ili Ligi Kuu ya Tanzania Bara imalizike, mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe, ameshafikisha idadi ya mabao yaliyofungwa na Kipre Tchetche, msimu uliopita. Kipre, msimu uliopita alikuwa mfungaji bora baada ya kufunga mabao 17 kwenye ligi kuu, lakini mabao mawili ambayo Tambwe alifunga jana yameshamfanya afikie idadi hiyo. Hii ni rekodi mpya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Pluijm: Tambwe atakuwa mfungaji bora

Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Na Omary Mdose
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, amewashangaa wanaosema kuwa mshambuliaji wake, Mrundi, Amissi Tambwe hawezi kuwa mfungaji bora katika Ligi Kuu Bara, msimu huu. Tambwe ambaye amejiunga na Yanga akitokea Simba ikiwa ni siku moja kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Desemba 15, mwaka jana, alikuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu...

 

10 years ago

Mwananchi

Walipachika mabao msimu uliopita, msimu huu chali

Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kwa muda wa mwezi mmoja huku timu zote zikiwa zimeshacheza michezo saba na Mtibwa Sugar ndiyo inaongoza msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 15.

 

10 years ago

BBCSwahili

Messi:Jeraha liliniathiri msimu uliopita

Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi amekiri kwamba hakujisikia vyema baada ya kukabiliwa na jeraha.

 

10 years ago

GPL

Mfungaji bora Caf anakuja Yanga

Mshambuliaji nyota wa AS Vita, Firmin Ndombe Mubele. Na Mwandishi Wetu
KLABU kongwe ya Yanga imesisitiza lazima ipate mshambuliaji wa kucheka na nyavu na zoezi hilo litakamilika kabla ya Desemba 15, siku ya mwisho ya dirisha dogo.Yanga imetega rada zake katika nchi zaidi ya nne, lakini inaonekana nguvu imeanza kwa mshambuliaji nyota wa AS Vita, Firmin Ndombe Mubele ambaye ni mfungaji bora wa Ligi ya Mabingwa Afrika, akifunga...

 

9 years ago

Bongo5

Samatta awa mfungaji bora, TP Mazembe yachukua ubingwa wa Afrika

Mbwana

Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imechukua kombe la michuano ya mabingwa wa Afrika baada ya kuifunga mabao 2-0 USM Alger ya Algeria kwenye fainali zilizochezwa jana mjini Lubumbashi.

Mbwana
Samatta alifunga bao moja kwenye mechi hiyo na kufikisha mabao saba yaliyomfanya kuwa mfungaji bora wa michuano hiyo.

Samatta aliyezaliwa Januari 7, 1992 anacheza kama mshambuliaji kwenye klabu hiyo yenye makazi yake mjini Lubumbashi.

Mchezaji huyo anajulikana kutokana na magoli saba...

 

11 years ago

GPL

Kavumbagu abariki ufungaji bora kwa Tambwe

Didier Kavumbagu. Na Hans Mloli
STRAIKA wa kimataifa wa Yanga, Mrundi, Didier Kavumbagu, ameikubali kasi ya mabao ya Mrundi mwenzake anayekipiga Simba, Amissi Tambwe na kukiri kuwa msimu huu mshambuliaji huyo atatwaa kiatu cha ufungaji bora wa ligi. Tambwe amefikisha jumla ya mabao 17 akiwa ndiye kinara huku akiwa tayari ameshaifikia idadi ya mfungaji bora wa msimu uliopita, mchezaji kutoka Ivory Coast, Kipre Tchetche wa Azam...

 

10 years ago

Mwananchi

Kikosi bora cha Ligi Kuu Bara msimu wa 2014/15

>Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2014/15 imemalizika juzi huku Yanga ikitwaa ubingwa na Polisi Moro pamoja na Ruvu Shooting zikishuka daraja.

 

10 years ago

Africanjam.Com

KIKOSI BORA CHA UEFA CHAMPIONS LEAGUE MSIMU HUU 2015


Goal-keepers: Marc-Andre ter Stegen (Barcelona), Gianluigi Buffon (Juventus)Defenders: Branislav Ivanovic (Chelsea), Gerard Pique (Barcelona), Javier Mascherano (Barcelona), Giorgio Chiellini (Juventus), Jordi Alba (Barcelona)
Mid-fields: Ivan Rakitic (Barcelona), Sergio Busquets (Barcelona), Andres Iniesta (Barcelona), Claudio Marchisio (Juventus), Toni Kroos (Real Madrid),Andrea Pirlo (Juventus)Strikers:Luis Suarez (Barcelona), Alvaro Morata (Juventus), Neymar (Barcelona), Cristiano Ronaldo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani