Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Messi:Jeraha liliniathiri msimu uliopita

Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi amekiri kwamba hakujisikia vyema baada ya kukabiliwa na jeraha.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Walipachika mabao msimu uliopita, msimu huu chali

Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kwa muda wa mwezi mmoja huku timu zote zikiwa zimeshacheza michezo saba na Mtibwa Sugar ndiyo inaongoza msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 15.

 

11 years ago

GPL

Tambwe amfikia mfungaji bora msimu uliopita

Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe . Na Phillip Nkini
ZIKIWA zimebaki mechi saba ili Ligi Kuu ya Tanzania Bara imalizike, mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe, ameshafikisha idadi ya mabao yaliyofungwa na Kipre Tchetche, msimu uliopita. Kipre, msimu uliopita alikuwa mfungaji bora baada ya kufunga mabao 17 kwenye ligi kuu, lakini mabao mawili ambayo Tambwe alifunga jana yameshamfanya afikie idadi hiyo. Hii ni rekodi mpya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sijui nitacheza wapi msimu ujao:Messi

Hatima ya Nahodha wa Ajentina Lionel Messi kusalia katika klabu yake ya barcelona bado iko mashakani.

 

9 years ago

StarTV

BARCELONA YA LIONEL MESSI YAPOTEZA KOMBE LA KWANZA MSIMU HUU….

2B72BF8600000578-3201312-image-a-9_1439846291599 Baada ya miaka 31 kupita, Athletic Bilbao wametwaa kombe la kwanza baada ya kuinyuka Barcelona kwa ushindi wa jumla wa magoli 5-1 katika mechi mbili za fainali ya Spanish Super Cup. Jana usiku, Barcelona wamelazimishwa sare ya 1-1 katika mchezo wa marudiano wa kombe hilo uliopigwa dimba la Camp Nou, wakati katika mechi ya kwanza walikula kichapo cha 4-0Lionel Messi aliwafungia Barca goli la kuongoza dakika ya 43′ na kufufua matumaini ya kupindua matokeo ya awali, lakini yule yule...

 

10 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA TUMBAKU MOROGORO CHAFANYA SHERERE KUFUNGA MSIMU NA KUFUNGUA MSIMU MPYA

Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Tumbaku ya Tanzania Tobacco Procesing Limited (TTPL) na Tanzania Leaf Tobacco Company (TLTC) David Crowhorst Akitoa hotuba yake wakati wa sherehe za kumaliza msimu uliopita na kukaribisha msimu mwingine pamoja na kutoa zawadi kwa wafanyakazi waliotumikia kampuni hizo kwa muda mrefu pamoja na wafanyakazi bora zilizofanyika Kiwandani hapo.Katika Hotuba yake Mkurugenzi Huyo alisema Makampuni hayoyamesaidia Mkoa wa Morogoro kuanza kuinuka kiuchumi kutokana na...

 

10 years ago

Mwananchi

Kama hatujajifunza kwenye uchaguzi uliopita, basi tunahitaji ‘profesa’

Shukrani zangu za kwanza ziende kwa Mwenyezi Mungu aliyenipa nguvu na baraka tele za kuiona siku ya leo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Jeraha lamzonga Samuel Eto'o

Nahodha wa Cameroon Samuel Eto'o huenda asicheze Jumatano watakapochuana na Croatia kutokana na jeraha

 

10 years ago

BBCSwahili

Van Persie apata jeraha

Kilabu ya Manchester United inasubiri kujua ubaya wa jeraha la mshambuliaji wake Robin Van Persie

 

11 years ago

BBCSwahili

Jeraha lililomhofisha sana Mo Farah

Mo Farah alikimbizwa hospitalini baada ya kuzimia wakati akifanya mazoezi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani