Pluijm ampa ulaji Mkwasa atimkia Uarabuni
![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx*CsUdTgRfFlgCdh*0otfdsJQ34Ca57ROosPLpAtMOZJ15FyD*EG1*q5EYe3ihFw06EghtGDzky5W64VmQzpGIn/2.gif?width=650)
Kocha wa Klabu ya Shaola SC, Hans van Der Pluijm. Na Lucy Mgina KOCHA Msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa, ameiacha timu hiyo na kutimkia Saudi Arabia kwa ajili ya kuwa Kocha Msaidizi wa Klabu ya Shaola SC inayonolewa na Hans van Der Pluijm.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Logarusic ampa ulaji kocha Yanga
9 years ago
Habarileo10 Dec
Tambwe ampa raha Pluijm
KOCHA wa Yanga Hans van der Pluijm, amesema kupona kwa mshambuliaji wake Mrundi Amissi Tambwe, kumeongeza matumaini ya kushinda mechi ya Jumamosi dhidi ya Mgambo JKT Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dj7KjSQgc-Q0IC036mDoEYIMEP5zW*0nsJ0zA7*M7vH4ogVQXdJqGIZnL7o7c8Hbm2qT5oOFDegDqPJiq6R9pqM-q7DScrIr/hfhh.jpg?width=650)
Pluijm ampa siku 14 Tambwe
9 years ago
Habarileo11 Nov
Kocha Pluijm ampa nafasi Samatta Ulaya
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amempongeza mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta kwa kuiwezesha TP Mazembe kushinda taji la Ligi ya Mabingwa Afrika na kumshauri sasa ni wakati wake wa kucheza soka la kulipwa Ulaya.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfZz*MzLSC2IUEo98aSWQFaID2qx4UOFwK6GD*dvBGX-qVqQANB*pPweiK8uzc9bmAdbbRSV8MWmkjbc2cvOfUd1/yanga.jpg?width=750)
9 years ago
Bongo Movies15 Nov
Wastara Ampa Ampa Kichapo Bondi
KAZI ipo! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadaiwa kumpa kichapo kikali aliyekuwa mwandani wake, Bond Suleiman baada ya kupatwa na kile kinachosemwa kuwa ni kupandisha majini.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, kupandisha majini hayo kulitokana na jinsi ambavyo mwanaume huyo amekuwa akimtendea mpenziwe huyo, ambaye inadaiwa katika kupandisha huko, alitoa maelekezo ya namna anavyotakiwa kufanya.
“Nakuambia ilikuwa varangati siku hiyo, Wastara alipandisha majini akiwa na Bond, walikuwa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7KfVtj4CX6gOQzLPTBtEOy0GQC1Hq3KaQGLRqLrvWW4zg8Tua5YJOuHYKB4KfBytB8yYrAM1PXgEOCtO*MNE5YCvdlks5Af-/Mrembo.gif?width=650)
MREMBO ATESWA UARABUNI
10 years ago
Mwananchi18 Dec
JK akatisha ziara ya Pinda Uarabuni
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Walima maparachichi kupatiwa soko Uarabuni