Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YAMTANGAZA PLUIJM KOCHA MKUU, MKWASA MSAIDIZI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Yanga yapiga ramli msaidizi wa Mkwasa

UONGOZI wa Yanga bado unaendelea kufanya utafiti wa kumtafuta mbadala wa Charles Mkwasa kwa ajili ya kusaidiana na Kocha Mkuu Hans Pluijm (pichani) kukinoa kikosi hicho.

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Pluijm kustaafia Yanga

Kocha wa Yanga, Hans Pluijm yupo mbioni kusaini mkataba mpya na mabingwa hao na kumalizia maisha yake ya ukocha hapa nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Pluijm apangua kikosi Yanga

Mbio za ubingwa zimemfanya kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm kufumua kikosi chake akidai hatavumilia mchezaji atakayeonyesha kiwango kibovu hata kama ni nyota kwa kiasi gani.

 

10 years ago

Mtanzania

Kocha Pluijm aahidi makubwa Yanga

IMG_3892

 

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM,

KOCHA mpya wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, ameanza kwa mbwembwe kibarua chake baada ya kuahidi makubwa, huku akidai atahakikisha anarudisha soka la kuvutia na la ushindi ili kuwapa raha wapenzi wa timu hiyo.
Pluijm amerejeshwa kwenye timu hiyo aliyoinoa msimu uliopita baada ya kutimuliwa kwa makocha, Marcio Maximo na msaidizi wake, Leonardo Neiva, ambao wote ni kutoka Brazil.

Mholanzi huyo juzi alianza kibarua cha kuinoa timu hiyo kwenye Uwanja wa Shule...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Pluijm amrudisha Yondani kikosini Yanga

Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amelazimika kumrudisha kundini haraka beki wake Kelvin Yondani kutokana na kikosi chake kukumbwa na uhaba wa mabeki wa kati.

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Pluijm aunga mkono Niyonzima kutimuliwa Yanga

SIKU moja baada ya Yanga kusitisha mkataba wake na Haruna Niyonzima, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Hans van der Pluijm ameibuka na kusema alikwishamuondoa kiungo huyo kwenye mipango yake.

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Pluijm ataka nidhamu kwa nyota wake Yanga

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanacheza na Mbeya City leo kwenye Uwanja wa Sokoine, lakini kocha wao mkuu, Hans Pluijm amewaambia vijana wake ili mchezo huo uwe na manufaa kwao, waache na utovu wa nidhamu, wasiwaige wapinzani wao.

 

11 years ago

GPL

Pluijm ampa ulaji Mkwasa atimkia Uarabuni

Kocha wa Klabu ya Shaola SC, Hans van Der Pluijm. Na Lucy Mgina
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa, ameiacha timu hiyo na kutimkia Saudi Arabia kwa ajili ya kuwa Kocha Msaidizi wa Klabu ya Shaola SC inayonolewa na Hans van Der Pluijm.…

 

10 years ago

CloudsFM

ALIYEKUWA KOCHA MSAIDIZI WA TAIFA STARS AFARIKI DUNIA

Aliye kuwa kocha wa zamani wa timu ya Taifa Star Sylvester Marsh amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili ambapo alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Saratani ya koo kwa muda mrefu Sylvester enzi za uhai wake alishawahi kufanya kazi kakita timu tofauti tofauti ikiwemo timu ya Toto Africa Mwanza,Kagera Suger ,Azam FC ya Dar Es Salaam na Taifa Stars Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi Amen

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani