Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK akatisha ziara ya Pinda Uarabuni

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amekatiza kwa muda, ziara yake katika Falme za Kiarabu kwa maelezo kwamba ameitwa nyumbani na Rais Jakaya Kikwete kwa shughuli maalumu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JK:AKATISHA ZIARA YA MIZENGO PINDA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Waziri Mizengo Pinda amekatiza kwa muda, ziara yake katika Falme za Kiarabu kwa maelezo kwamba ameitwa nyumbani na Rais Jakaya Kikwete kwa shughuli maalumu. Waziri Mkuu ambaye yuko katika ziara ya kutembelea nchi za Falme za Kiarabu, ikiwa ni sehemu ya kudumisha ushirikiano na kutafuta wawekezaji, amekatisha ziara hiyo siku mbili baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema kujiuzulu...

 

10 years ago

Vijimambo

Halima Mdee akatisha ziara Yake Mafia

Baada ya kutoka Mafia na kufanikiwa kufanya mkutano mkubwa ambao watu zaidi ya 50 walijiunga na Chadema.
Hatimaye Mh. Halima Mdee aliamua kukatisha ziara yake Huko mafia na kurudi jimboni kwake ambapo leo alikuwa na ziara ya kutembelea jimbo zima kujionea na kuwapa pole waathirika wa mvua zilizo nyesha kwa siku 2 mfululizo.

katika ziara hiyo mbunge ameambatana na Janeth Rithe, Esther Samanya, Matha charles, Pamera Maasay na Manase Bussah.

Akizungumza na wananchi hao mdee amesema matatizo...

 

11 years ago

CloudsFM

MSANII LUCY KOMBA AKATISHA ZIARA YAKE YA DENMARK KWA AJILI YA MSIBA WA RACHEL HAULE

STAA Nguli wa filamu za Kibongo,Lucy Komba amekatisha ziara yake ya nchini Denmark kwa ajili ya kuhudhulia msiba wa msanii mwenzake aliyefariki leo katika hospitali ya taifa Muhimbili kutokana na matatizo ya uzazi. Kupitia account yake ya instagram Lucy aliandika hivi..jamani wapenzi wetu wa bongo movie nasikitika sana kuona wasanii wenzangu wanafariki bila mimi kuwepo nchini, nimeamua kukatiza ziara kurudi bongo kwa ajili ya msiba nitaondoka kesho mniombee safari njema. RIP mngoni...

 

9 years ago

GPL

MREMBO ATESWA UARABUNI

Stori:imelda mtema MATESO! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mrembo Sada Hussein, mkazi wa Tandale kwa Mtogole jijini Dar kupata mateso mazito baada ya kupelekwa Uarabuni nchini Oman kwa lengo la kufanya kazi za ndani, tofauti na matarajio, alijikuta akiteswa vibaya na muajiri wake. Mrembo Sada Hussein, mkazi wa Tandale kwa Mtogole anayedaiwa kuteswa uarabuni. Akizungumzia tukio hilo kwa uchungu, kaka wa msichana huyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

JK:Akatiza ziara ya Mizengo Pinda

Waziri Mizengo Pinda wa Tanzania amekatiza ziara yake Falme za Kiarabu ,kwamba ameitwa nyumbani na Rais Jakaya Kikwete kwa shughuli maalumu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Pinda Uyui Tabora

PG4A5153

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora kwa ziara ya kikazi mkoani humo Oktoba 11, 20-14.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A5158

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki na Mbunge wa Urambo, Samuel Sitta baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora  kwa ziara ya kikazi Oktoba 11, 2014. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa. {Picha na Ofisi...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA MH. PINDA NCHINI POLLAND

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. Wengine Pichani kutoka kushoto ni Makamu wa Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland, Bw. Marek Kloczko,Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Polland, (Under Secretary Of State Ministry of Foreign Affairs), Bibi Katarzyna Kacperczyk na Bwana Jerzy Pietrewiez ambaye ni Katibu Mkuu Wizara ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Walima maparachichi kupatiwa soko Uarabuni

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro amesema anaendelea na jitihada za kutafuta soko kwa matunda aina ya parachichi katika nchi za Mashariki ya Kati ambako mahitaji yake ni makubwa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Waziri Mkuu Pinda Qatar

PG4A4953

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Abdullah Nasser Al Thani baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali  akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A4958

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Qatar Sheikh Abdullah Nasser Al Thani baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu wa Qatar iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani