Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK:Akatiza ziara ya Mizengo Pinda

Waziri Mizengo Pinda wa Tanzania amekatiza ziara yake Falme za Kiarabu ,kwamba ameitwa nyumbani na Rais Jakaya Kikwete kwa shughuli maalumu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JK:AKATISHA ZIARA YA MIZENGO PINDA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Waziri Mizengo Pinda amekatiza kwa muda, ziara yake katika Falme za Kiarabu kwa maelezo kwamba ameitwa nyumbani na Rais Jakaya Kikwete kwa shughuli maalumu. Waziri Mkuu ambaye yuko katika ziara ya kutembelea nchi za Falme za Kiarabu, ikiwa ni sehemu ya kudumisha ushirikiano na kutafuta wawekezaji, amekatisha ziara hiyo siku mbili baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema kujiuzulu...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KATIKA ZIARA YA KIKAZI DUBAI

 Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akizungumza na Kaimu Mkurugenzi  Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini, Bi. Devotha Mdachi (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Nakheel PSSC ya Dubai, Bw, Ali Lootan wakizungumza katika Mkutano wa Kuitangaza Tanzania na kuvutia wawekezaji wa Dubai  uliofunguliwa na Waziri Mkuu mjini Dubai leo Waziri Mkuu Mhe.  Mizengo Pinda akiongozwa na Meneja Mkuu wa Shamba la kufuga ng'ombe wa maziwa la Al Rawabi Dairy la Dubai, Dr. Ahmed Al Mansour (kulia kwake) kukagua shamba...

 

11 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AFANYA ZIARA POLLAND

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania waishio Polland baada ya kuwasili jijini Warsaw kwa ziara ya kikazi Oktoba 24, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. Wengine Pichani kutoka kushoto ni...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AANZA ZIARA YA MKOA WA MBEYA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mafunzo kwa vitendo yaliyokuwa yakifanywa na wanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari ya Igomelo wilayani Mbarari akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya kikazi mkoani Mbeya Februari 24, 2015. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Mizengo Pinda awasili Qatar kwa ziara ya kikazi

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Watanzania watanufaika na kipato na maarifa ya teknolojia ya kisasa kutokana na ajira ambazo watapata katika nchi ya Qatar baada ya mkataba kusainiwa hivi karibuni.  Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumapili, Desemba 20, 2014) jijini Doha, Qatar wakati akizumgumza na waandishi wa habari ili kuwapa taarifa fupi juu ya mambo yaliyojiri kwenye mazungumzo yake na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Abdulla Nasser Al Thani.  Katika mazungumzo hayo ambayo yalifanyika...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AHITIMISHA ZIARA YAKE NCHINI JAPAN

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na ujumbe wake wakizungumza na Viongozi wa kampuni ya Japan ya kuengeneza vifaa vya mawasiliano ya simu ya NEC ambayo inashirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) katika suala la ufundi na vifaa, wakati alipotembelea Ofisi za Kampuni hiyo jijini Tokyo Machi 18, 2015. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya NEC Kaono Yono.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya kutengeneza vifaa vya mawasiliano ya simu, Kaono...

 

10 years ago

Habarileo

RC akatiza ziara kukagua maabara

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Elaston Mbwilo.MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Elaston Mbwilo amesitisha ziara yake baada ya kutoridhishwa na ujenzi wa vyumba vya maabara katika Wilaya ya Maswa huku akitoa muda wa mwezi mmoja kukamilisha ujenzi huo kwenye shule za sekondari.

 

10 years ago

BBCSwahili

Malaysia:Waziri mkuu akatiza ziara

Waziri mkuu nchini Malaysia amesitisha ziara yake nchini Marekani ili kutembelea maeneo yaliyoathiriwa na janga la mafuriko

 

11 years ago

IPPmedia

Prime Minister Mizengo Pinda


IPPmedia
Prime Minister Mizengo Pinda
IPPmedia
Any provision of the proposed constitution that will not be approved by two thirds majority of the total number of members of the Constituent Assembly from Tanzania mainland and Zanzibar will be considered as rejected. This is in accordance with section ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani