Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC akatiza ziara kukagua maabara

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Elaston Mbwilo.MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Elaston Mbwilo amesitisha ziara yake baada ya kutoridhishwa na ujenzi wa vyumba vya maabara katika Wilaya ya Maswa huku akitoa muda wa mwezi mmoja kukamilisha ujenzi huo kwenye shule za sekondari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

JK:Akatiza ziara ya Mizengo Pinda

Waziri Mizengo Pinda wa Tanzania amekatiza ziara yake Falme za Kiarabu ,kwamba ameitwa nyumbani na Rais Jakaya Kikwete kwa shughuli maalumu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Malaysia:Waziri mkuu akatiza ziara

Waziri mkuu nchini Malaysia amesitisha ziara yake nchini Marekani ili kutembelea maeneo yaliyoathiriwa na janga la mafuriko

 

10 years ago

Dewji Blog

DC Makonda atembelea na kukagua miradi ya maabara shule za sekondari wilayani kwake

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akisaini kitabu cha wageni katika shule ya sekondari Turian iliyopo katika wilaya ya Kinondoni wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi ya Maabara katika sekondari za Wilaya yake. Aliyesimama nyuma yake ni Mkuu wa shule ya sekondari Turiani Mwalimu Beatrice Mhando. (PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG).

Mkuu wa shule ya sekondari Turiani Mwalimu Beatrice Mhando akitoa maelezo machache juu ya shule yake mbele ya Mkuu wa Wilaya...

 

5 years ago

Michuzi

DC MBONEKO AFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAJI SHINYANGA



Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko, akifungua maji kwenye mradi wa maji Lubaga ambao umeshakamilika kwa kutekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) leo Alhamis Machi 19,2020 wakati akifanya ziara ya kutembelea miradi ya maji katika wilaya ya Shinyanga .Kushoto ni Meneja Ufundi wa SHUWASA Mhandisi Yusuph Katopola. Picha zote na Marco Maduhu - Malunde 1 blog Kushoto ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Shinyanga...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Mkurugenzi mkuu wa NHC katika mikoa kukagua miradi

New Picture (1)

Mwonekano wa sasa wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la Mlole Kigoma

New Picture (2)

Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la Ilembo Katavi. Nyumba hizo 70 zimeshakamilika na zinauzwa kwa wananchi wote wanaohitaji.

New Picture (3)

Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na akiwa eneo la Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi kukagua eneo ambalo ujenzi wa nyumba za gharama nafuu umeshaanza.

New Picture (4)

Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC KUKAGUA MIRADI YA SHIRIKA MIKOANI

Mwonekano wa sasa wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la Mlole Kigoma Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la Ilembo Katavi. Nyumba hizo 70 zimeshakamilika na zinauzwa kwa wananchi wote wanaohitaji. Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na akiwa eneo la Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi kukagua eneo ambalo ujenzi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

ABBAS MTEMVU AFANYA ZIARA YA KUKAGUA WA MAENEO YALIYOHARIBIWA NA MVUA

  Diwani wa Soko la Tazara Vetenary, Zahoro Maganga akitoa maelezo kwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu alipotembelea maeneo yaliyoharibiwa na mvua akiongozana na viongozi wa Wakala wa Serikali wa Barabara (Tanroads) jinsi maji yanavyotakiwa kufuata mfereji huo ambao haupitishi maji kupeleka katika mfereji huo . Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kulia) akizungumza na viongozi wa Wakala wa Serikali wa Barabara (Tanroads) katika ziara ya kutembelea maeneo yaliyo haribiwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Bawacha wataka fedha za ziara za JK kujenga maabara

Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) limemtaka Rais Jakaya Kikwete kupunguza safari za kwenda nje ya nchi ili fedha anazotumia katika ziara hizo zigharamie ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari.

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mazingira afanya ziara ya kukagua viwanda mbalimbali jijini Dar leo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dkt. Eng. Binilith Satano Mahenge (wa kwanza kushoto,) akiwa pamoja na Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Makamu wa Rais Magdalena Mtenga,(mwenye nguo nyekundu) na Dr. Robert Ntakamalenga, Mkurugenzi wa Uzingatiaji na Utekelezaji-NEMC katika ziara ya kukagua viwanda jijini Dar Es Salaama leo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dkt. Eng. Binilith Satano Mahenge, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha Bin Fijaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani