Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ziara ya Pinda Uyui Tabora

PG4A5153

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora kwa ziara ya kikazi mkoani humo Oktoba 11, 20-14.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A5158

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki na Mbunge wa Urambo, Samuel Sitta baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora  kwa ziara ya kikazi Oktoba 11, 2014. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa. {Picha na Ofisi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI NZEGA LEO,KESHO NDANI YA WILAYA YA UYUI MKOANI TABORA

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Taifa Kata ya Bukene, wilayani Nzega, wakati wa mwendelezo wa ziara hiyo ndani ya  Mkoa wa Tabora.Kinana amemaliza ziara yake katika Wilaya ya Igunga na Nzega na kesho kuhamia wilayani Uyui,katika suala zima la kuimarisha chama,kutekeleza na kuhimiza maendeleo ya Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010,sambamban a kusikiliza matatizo ya wananchi na kuyapatia ufumbuni kwa namna moja ama nyingine,zira hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYANI UYUI,KESHO KUUNGURUMA WILAYANI SIKONGE MKOANI TABORA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Ufuluma wilaya ya Uyui  ambapo aliwaambia wananchi hao Kilimo cha Tumbaku kiondoe umasikini na si kuongeza umasikini kwa mkulima. ======  ====== ===== Wakulima wa Tumbaku kata ya Ufuluma wamelalamikia kulazimishwa na viongozi wa vyama vya ushirika kuuza tumbaku yao katika vyama hivyo ,hata kama sio wanachama,na pia kutolipwa fedha zao kwa wakati.Kinana amewataka wakulima hao kutokukubali kusumbuliwa kuuza tumbaku yao...

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : Mkoa wa Tabora hali si nzuri kwa Ukawa majimbo ya Uyui, Tabora na Igalula

Wilaya ya Uyui ni moja kati ya wilaya saba za mkoa wa Tabora na inaundwa na kata 29, vijiji 156 na vitongoji 688. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 wilaya hii ina jumla ya wakazi 396,623 kwa maana ya wanaume 196,446, wanawake 200,177 na kuna wastani wa watu 6.6 katika kila kaya.

 

11 years ago

Michuzi

KINANA na aujumbe wake WILAYANI UYUI, tabora

 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahtubia wakazi wa Loya wilayani Uyui,Katibu Mkuu aliipongeza sana halmashauri ya wilaya kwa kujenga shule za sekondari 18 za kata.  Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Uyui Mussa Ntimizi akihutubia wakazi wa Loya wakati wa mkutano wa CCM uliofanyika hapo ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye ameanza ziara katika wilaya ya Uyui ikiwa wilaya ya tatu baada ya kumaliza Nzega na Igunga.  Katibu wa NEC...

 

10 years ago

Habarileo

Pinda ‘atimua’ mjini vigogo wote Uyui

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amempa miezi miwili Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora, Khadija Makuani kuhakikisha kuwa watumishi wote wa wilaya hiyo wanahamia Isikizya yalipo makao makuu ya wilaya hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

PINDA AFUNGUA KITUO CHA POLISI WILAYA YA UYUI


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua kituo cha polisi cha wilaya ya Uyui akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Tabora, Oktoba 11, 2014. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mhe Fatuma Mwasa na Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Uyui, Mhe. Lucy Mayenga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, ACP Suzan Kaganda (kulia) baada ya kufungua kituo cha polisi cha wilaya ya Uyui akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Tabora, Oktoba 11, 2014.(Picha...

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AZINDUA HUDUMA ZA "DUTY FREE SHOP" MAGEREZA UYUI TABORA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kushoto) akifunua kitambaa kwenye jiwe la msingi kuashilia uzinduzi rasmi wa "Duty Free Shop" ya Magereza Mkoani Tabora leo februari 28, 2015. Kamishna Jenerali Minja amesema kuwa Huduma hiyo itatolewa pia kwa Maafisa na Askari wa Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama Mkoani Tabora(kulia) ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Transit Military Shop, Bw. Sadrudin Virji.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kushoto)...

 

10 years ago

GPL

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AZINDUA HUDUMA ZA "DUTY FREE SHOP" MAGEREZA UYUI TABORA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kushoto) akifunua kitambaa kwenye jiwe la msingi kuashilia uzinduzi rasmi wa "Duty Free Shop" ya Magereza Mkoani Tabora februari 28, 2015. Kamishna Jenerali Minja amesema kuwa Huduma hiyo itatolewa pia kwa Maafisa na Askari wa Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama Mkoani Tabora(kulia) ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Transit Military Shop, Bw. Sadrudin Virji.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani