Ziara ya Waziri Mkuu Pinda Qatar
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Abdullah Nasser Al Thani baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Qatar Sheikh Abdullah Nasser Al Thani baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu wa Qatar iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-wKP-wm6EIlo/VJcTgnHyfsI/AAAAAAAG44o/9Wth66iFV0A/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda awasili Qatar kwa ziara ya kikazi
10 years ago
MichuziWaziri Mkuu awasili Qatar kwa ziara ya kikazi
Lengo la ziara ya Waziri Mkuu ni kukuza mahusiano baina ya nchi hizi mbili, kuangalia fursa za kiuchumi na miradi mikubwa inayoweza kuzinufaisha nchi hizo na nje ya mipaka yake kwenye Ghuba ya Arabuni (Arabian Gulf) na bara la Afrika.
Vile vile Waziri Mkuu anatarajiwa kutangaza fursa za uwekezaji nchini Tanzania,...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA BALOZI WA BURUNDI NA QATAR
11 years ago
Dewji Blog08 Jun
Ziara ya Waziri Mkuu Pinda wilayani CHAMWINO — Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bibi Gilita Mlong’ose wakati alipotembelea Hospitali ya Mvumi wilayani Chamwino akiwa katika ziara ya wilaya hiyo mkoani Dodoma Juni 7, 2014. Bibi huyo alikuwa ni miongoni mwa wagonjwa waliofika hospitalini hapo kutibiwa macho. Kushoto ni Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde. (Picha na Ofisiya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya mkuki kutoka kutoka kwa mwenyekiti waCCM wa Tawi la Ilolo wilayani Chamwino akiwa katika...
10 years ago
Dewji Blog25 Oct
Matukio ya ziara ya Waziri Mkuu Pinda nchini Poland
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania waishio Polland baada ya kuwasili jijini Warsaw kwa ziara ya kikazi Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika...
10 years ago
VijimamboWAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AFANYA ZIARA POLLAND
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA AWASILI OMAN KWA ZIARA YA KIKAZI
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIJINI MBEYA
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa na vingozi wa serikali wakati alipowasili katika soko la mwanjelwa Februari 25,2015 tayari kwa uzinduzi wa soko hilo ambalo linaloendelea kujengwa jijini Mbeya.Picha na Fadhil Atick,Globu ya Jamii.
10 years ago
MichuziZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA KATIKA JIMBO LAKE LA UCHAGUZI