Waziri Mkuu awasili Qatar kwa ziara ya kikazi
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewasili jijini Doha, Qatar jana usiku (Jumamosi, Desemba 20, 2014) kwa ziara ya siku tatu kwa mwaliko wa Serikali ya nchi hiyo inayotarajiwa kuanza leo.
Lengo la ziara ya Waziri Mkuu ni kukuza mahusiano baina ya nchi hizi mbili, kuangalia fursa za kiuchumi na miradi mikubwa inayoweza kuzinufaisha nchi hizo na nje ya mipaka yake kwenye Ghuba ya Arabuni (Arabian Gulf) na bara la Afrika.
Vile vile Waziri Mkuu anatarajiwa kutangaza fursa za uwekezaji nchini Tanzania,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda awasili Qatar kwa ziara ya kikazi
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA AWASILI OMAN KWA ZIARA YA KIKAZI
5 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI TANGA KWA ZIARA YA KIKAZI

11 years ago
Michuzi.jpg)
WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI
.jpg)
.jpg)
5 years ago
MichuziWAZIRI SIMBACHAWENE AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati) akizungumza na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohamed...
10 years ago
MichuziJAJI MKUU WA TANZANIA AWASILI JIJINI MWANZA KUELEKEA TABORA KWA AJILI YA ZIARA YA KIKAZI
11 years ago
Dewji Blog14 May
Katibu Mkuu wa Shirika la kimataifa la usafiri wa anga (ICAO) Bw. Raymond Benjamin awasili nchini kwa ziara ya 5 kikazi
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akiongozana na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin baada ya kuwasilia katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,kwa ziara ya kikazi nchini kuanzia leo tarehe 14n hadi 18 Mei 2014. Tanzania ni moja ya nchi mbili ikiwemo Ethiopia atakazotembelea katika Kanda ya ICAO .
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa...
11 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA USAFIRI WA ANGA (ICAO) BW,RAYMOND BENJAMIN AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI


10 years ago
MichuziJAJI MKUU AWASILI MKOANI TABORA KATIKA ZIARA YA KIKAZI