WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI TANGA KWA ZIARA YA KIKAZI
![](https://1.bp.blogspot.com/-FK7Othc0jv4/XltqpsM5RbI/AAAAAAALgMk/ppfIXS-iVHs-e8lUuZ3__inZuDmQs2kMwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Marubani na wahudumu wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATC) kabla ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kuelekea Tanga , Machi 1, 2020. Waziri mkuu ameanza ziara ya kikazi ya Mkoa wa Tanga kwa kutekeleza maelekezo ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kulia) aliyoyatoa kwa Watanzania ya kutosalimiana kwa kushikana mikono au kukumbatiana ikiwa ni tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona. ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-zX1-jJ-lov4/VBQmggSRvjI/AAAAAAAGjaw/czyJRNih7M4/s72-c/unnamed%2B(36).jpg)
WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-zX1-jJ-lov4/VBQmggSRvjI/AAAAAAAGjaw/czyJRNih7M4/s1600/unnamed%2B(36).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-WwDxPXtqPlk/VBQmhaedaqI/AAAAAAAGja0/G8tSWnxA_Vw/s1600/unnamed%2B(35).jpg)
10 years ago
MichuziWaziri Mkuu awasili Qatar kwa ziara ya kikazi
Lengo la ziara ya Waziri Mkuu ni kukuza mahusiano baina ya nchi hizi mbili, kuangalia fursa za kiuchumi na miradi mikubwa inayoweza kuzinufaisha nchi hizo na nje ya mipaka yake kwenye Ghuba ya Arabuni (Arabian Gulf) na bara la Afrika.
Vile vile Waziri Mkuu anatarajiwa kutangaza fursa za uwekezaji nchini Tanzania,...
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA AWASILI OMAN KWA ZIARA YA KIKAZI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-wKP-wm6EIlo/VJcTgnHyfsI/AAAAAAAG44o/9Wth66iFV0A/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda awasili Qatar kwa ziara ya kikazi
5 years ago
CCM BlogMAJALIWA AWASILI NACHINGWEA AKIENDA RUANGWA KWA ZIARA YA KIKAZI
10 years ago
Dewji Blog14 Sep
Pinda awasili Tanga kwa ziara ya kikazi ya siku moja
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Chiku Gallawa. (Picha na Ofisi ya Waziri...
5 years ago
MichuziWAZIRI SIMBACHAWENE AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati) akizungumza na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohamed...
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MAJALIWA KUANZA ZIARA MKOANI TANGA KESHO
MKUU wa Mkua wa Tanga Martine Shigella akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo leo ambao hawapo pichani kuhusu ziara maalumu ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa itakayoanza kesho Jumatatu
MKUU wa Mkua wa Tanga Martine Shigella akizungumza na waandishi wa
habari mkoani humo kuhusu ziara maalumu ya Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa itakayoanza kesho Jumatatu mkoani hapa
WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwasili jijini Tanga kesho June Mosi Mwaka huu kwa ziara maalum ya kutembelea na...
5 years ago
CCM BlogZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA WILAYANI PANGANI MKOANI TANGA, LEO