Halima Mdee akatisha ziara Yake Mafia
![](http://4.bp.blogspot.com/-4p6D7juUP1s/VU_ut7RHAiI/AAAAAAAASeE/ASczmBJpMPU/s72-c/IMG-20150510-WA0102.jpg)
Baada ya kutoka Mafia na kufanikiwa kufanya mkutano mkubwa ambao watu zaidi ya 50 walijiunga na Chadema.
Hatimaye Mh. Halima Mdee aliamua kukatisha ziara yake Huko mafia na kurudi jimboni kwake ambapo leo alikuwa na ziara ya kutembelea jimbo zima kujionea na kuwapa pole waathirika wa mvua zilizo nyesha kwa siku 2 mfululizo.
katika ziara hiyo mbunge ameambatana na Janeth Rithe, Esther Samanya, Matha charles, Pamera Maasay na Manase Bussah.
Akizungumza na wananchi hao mdee amesema matatizo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM29 May
MSANII LUCY KOMBA AKATISHA ZIARA YAKE YA DENMARK KWA AJILI YA MSIBA WA RACHEL HAULE
STAA Nguli wa filamu za Kibongo,Lucy Komba amekatisha ziara yake ya nchini Denmark kwa ajili ya kuhudhulia msiba wa msanii mwenzake aliyefariki leo katika hospitali ya taifa Muhimbili kutokana na matatizo ya uzazi.
Kupitia account yake ya instagram Lucy aliandika hivi..jamani wapenzi wetu wa bongo movie nasikitika sana kuona wasanii wenzangu wanafariki bila mimi kuwepo nchini, nimeamua kukatiza ziara kurudi bongo kwa ajili ya msiba nitaondoka kesho mniombee safari njema. RIP mngoni...
10 years ago
Mwananchi18 Dec
JK akatisha ziara ya Pinda Uarabuni
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iJVROLF4NIv90swKBrvBFYJBuDncJNMabGtJw7XmGkyi7ruxW45mnQA0ZAStR8oBoRbFI77LRWH*QiOoxkH8k9Ox-jjWSiiU/RAISKIKWETE.jpg)
JK:AKATISHA ZIARA YA MIZENGO PINDA
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Halima Mdee ngangari
JESHI la Polisi jana lilitembeza mkong’oto na kuwakamata makada na viongozi wa Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), waliokuwa wakiandamana kwenda Ikulu Mwenyekiti wa Bawacha, Halima...
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
JK amzimia Halima Mdee
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), jana aligeuka kivutio kikubwa katika hafla ya uzinduzi wa barabara ya Mwenge hadi Tegeta. Katika uzinduzi huo uliofanyika jana jijini Dar es salaam, Mdee,...
10 years ago
Habarileo08 Oct
Halima Mdee rumande
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (35) na wanachama wenzake wanane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana walipelekwa rumande baada ya kushindwa kukamilisha taratibu za dhamana katika kesi inayowakabili ya kutotii amri halali ya Polisi na kufanya mkusanyiko bila kibali.
10 years ago
Accused Over 'No22 Oct
Court Warns Halima Mdee, Co
AllAfrica.com
THE Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam on Tuesday warned Chadema Women's Wing (Bawacha) Chairperson, Halima Mdee and two other co-accused, for failure to attend the case facing them. In Tuesday's proceedings, the prosecution ...
10 years ago
Mtanzania10 Jun
RC Gama amjibu Halima Mdee
NA RODRICK MUSHI, MOSHI
SIKU moja baada ya Waziri Kivuli wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halima Mdee (Chadema), kumlipua Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, akidai kuwa amekuwa dalali wa viwanja, hatimaye amejibu mapigo na kusema kusakamwa kwake kunatokana na msimamo wake dhidi ya wa wanywaji pombe wilayani Rombo.
Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa, alisema kauli ya Mdee imejaa siasa, hasa kipindi hiki cha kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu, lakini hatorudi...
11 years ago
Dewji Blog10 Jul
Halima Mdee: Jihadharini na Matapeli
Na Mwandishi wetu
Mbunge wa Kawe jijini Dar es Salaam, Halima Mdee (pichani) amewatahadharisha wananchi juu ya utapeli unaofanywa na baadhi ya watu wasiojulikana katika mitandao ya kijamii kwa kutumia jina lake kwa kudai kuwa anatoa mikopo bila riba.
siku za hivi karibuni kumekuwapo na matukio ambayo yamekuwa yakiwakuta baadhi ya viongozi wakiwemo Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe na Mbuge wa Monduli Edward Lowassa.
kwa mujibu wa Mdee ni kuwa wakati muhafaka kwa Jeshi la Polisi...