Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZIARA YA MH. PINDA NCHINI POLLAND

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. Wengine Pichani kutoka kushoto ni Makamu wa Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland, Bw. Marek Kloczko,Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Polland, (Under Secretary Of State Ministry of Foreign Affairs), Bibi Katarzyna Kacperczyk na Bwana Jerzy Pietrewiez ambaye ni Katibu Mkuu Wizara ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AFANYA ZIARA POLLAND

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania waishio Polland baada ya kuwasili jijini Warsaw kwa ziara ya kikazi Oktoba 24, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. Wengine Pichani kutoka kushoto ni...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA WAWEKEZAJI TOKA POLLAND

Waziri mkuu,Miengo Pinda akizungumza na wawekezaji na watalaamu wa kujenga vihenge vya kisasa na vyenye uwezo wa kuhifadhi tani nyingi za nafaka hasa mahindi ambao wanatarajia kujenga vihenge hivyo hapa nchini. Watalaamu na wakezaji hao kutoka Plland ambao wakulikutana na Waziri Mkuu mjini Dodoma Mei 12, kutoka kushoto ni Honorta Maslowsk, Witold Karczewski ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara waPolland na Aleksandar Zingman. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda aendelea na ziara nchini Oman

PG4A7853

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na baadhi ya mabalozi wanaowakilisha wa nchi mbalimbali  nchini   Oman katika dhifa aliyoandaliwa na Naibu Waziri Mkuu wa Oman, Mhe. Sayyid Fahad Al Said (kulia) kwenye hoteli ya Al Bustan  mjini Muscut Oktoba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A7855

PG4A7805

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Naibu Waziri Mkuu wa Oman, Mhe. Sayyi Fahad Al Said   (kushoto kwake) wakizungumza na balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh katika dhifa aliyoandaliwa Waziri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Matukio ya ziara ya Waziri Mkuu Pinda nchini Poland

PG4A6721

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania waishio Polland baada ya kuwasili jijini  Warsaw kwa ziara ya kikazi  Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A6747

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland  jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A6758

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AHITIMISHA ZIARA YAKE NCHINI JAPAN

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na ujumbe wake wakizungumza na Viongozi wa kampuni ya Japan ya kuengeneza vifaa vya mawasiliano ya simu ya NEC ambayo inashirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) katika suala la ufundi na vifaa, wakati alipotembelea Ofisi za Kampuni hiyo jijini Tokyo Machi 18, 2015. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya NEC Kaono Yono.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya kutengeneza vifaa vya mawasiliano ya simu, Kaono...

 

5 years ago

Michuzi

MASENETA SITA KUTOKA NCHINI UFARANSA WAPO NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU NANE



Na Karama Kenyunko-Michuzi Blog.

MASENETA sita kutoka nchini Ufaransa wako nchini Tanzania kwa ziara za kikazi ambapo wanatarajia kutembelea mikoa mbalimbali pamoja na visiwani Zanzibar kujionea shughuli za maendeleo zinazofanywa na wadau wanaonufaika na misaada ya Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD).


Ziara hiyo itafanyika kwenye Mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma na Arusha na kwamba ni matokeo ya ziara iliyofanywa Septemba mwaka jana na marafiki wa Ufaransa na Tanzania na kuazimia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Duda aelekea kushinda Uchaguzi Polland

Rais wa Poland Bronislaw Komorowski amekubali kushindwa katika uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONDOKA NCHINI VIETNAM BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI NCHINI HUMO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza (wa pili kushoto), Mbunge wa Ilala na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mussa Azzan Zungu (kulia), Mbunge wa Tumbe Mhe Rashid Ally Abdallah (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini China Luteni Jenerali (Mst.) Abdulrahman Shimbo muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani