USAJILI: St. George kumchomoa Coutinho Yanga
Dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa siku kumi zijazo, Novemba 15 itashuhudiwa klabu mbalimbali za Ligi Kuu zikifanya mabadiliko kwenye vikosi vyao. Yanga imepanga kumpiga bei kiungo wake mshambuliaji , Andrey Coutinho kwenye klabu ya St. George ya Ethiopia ambayo imekuwa ikionyesha nia ya kumtaka Mbrazili huyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi05 Aug
USAJILI: Yanga yawakata Zutah, Coutinho
10 years ago
Habarileo08 Aug
Coutinho chupuchupu Yanga
MASHABIKI wa Yanga wamemwokoa kiungo Mbrazili Andrey Coutinho asitemwe baada ya kumpigia simu Mwenyekiti wao Yusuf Manji, ambaye aliamuru mchezaji huyo asiachwe.
10 years ago
Mwananchi01 Apr
Yanga kuwakosa Coutinho, Sherman
11 years ago
Mwananchi28 Jun
Maximo amleta Coutinho Yanga
9 years ago
Habarileo09 Dec
Mrithi wa Coutinho aiumiza Yanga
UONGOZI wa Yanga umesema haujutii uamuzi wake ya kuachana na kiungo Mbrazili Andrey Coutinho kwani wapo katika mikakati ya kupata mchezaji mwenye tija katika michuano ya kimataifa mwakani.
9 years ago
Habarileo23 Oct
Salvatory amfagilia Coutinho Yanga
KIUNGO wa zamani wa Yanga, Salvatory Edward amesema winga Mbrazil wa timu hiyo, Andrey Coutinho anastahili kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara.
11 years ago
GPLCoutinho atupia mabao mawili Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E9fEOxuVMyQYleZM2l34Vygsi3lKxJyqqnZhcjUnW7zYM*w5VpmE9uIgyt0uRe1T-o4ryhkXjvk2TpEdCUe14zX07Jd*BqFQ/CORT.jpg)
Coutinho apewa jukumu zito Yanga
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
Yanga yamuacha Coutinho kwenda Botswana