Yanga yamalizana na mrithi wa Twite
![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOZ3nYyBa9Sf7dJC*-f*d2ZmDtl5BMb1qtKCt6vysVfSFXBZe-G0ypW2Q-6*PeW3TGyKp-jcnRYgcgpNFQKsaWGF/tw.gif?width=650)
Beki wa Yanga, Mbuyu Twite. Na Hans Mloli DALILI za wazi za Yanga kuonyesha kukata tamaa ya kuendelea kuwa na beki wake, Mnyarwanda Mbuyu Twite, zimefikia kwenye kiwango cha juu baada ya kukubali kuachia aondoke kwa kuwa imeshindwa dau analohitaji, lakini sasa imeenda mbele zaidi kwa kutafuta mrithi wake mapema. Twite amekuwa akiwaniwa na Azam FC kwa muda mrefu na tayari ameshafanya mazungumo na viongozi wa klabu zote, lakini...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NOzw*b8EyMpFQwsA3775HlimdAm67JwKV5FA4ijTWVJJrGgjoGsiATpbKoiT80cGnK-M4nxfgvqiR3Ajg9biDqOjytb*Xn-F/TWITE.gif?width=650)
Twite: Kifo kimenibakiza Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfgqFIYnObOhe9uSZtJ68a9uG7YwCVhKzQaRwr4et3a-OntoiBUltNrbiGhRfyOFH8fd5SMs6m-4njF99urfTMve/twite.gif?width=650)
Yanga yampa Twite milioni 40
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yKf2ULbTEhEJ2aiy24Tq-XxjDylK8KfXUE5usyFwoyW2abAGsPTfF0*Q8eUEP14xgXvMldTD7KYx*oojuzLywTp/IMG20120805WA002.jpg)
TWITE AONGEZA MKATABA YANGA
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Twite apewa cheo kipya Yanga
Kiungo wa Yanga Mbuyu Twite.
Hans Mloli,Dar es Salaam
UONGOZI wa benchi la ufundi la Yanga umempa cheo cha unahodha, kiungo wa timu hiyo Mbuyu Twite baada ya Haruna Niyonzima kutemwa klabuni hapo.
Awali kabla ya Niyonzima ambaye pia ni nahodha wa timu ya taifa ya Rwanda kupewa wadhifa huo cheo hicho kilikuwa mikononi mwa Twite, hivyo hii ni mara ya pili kwa kiraka huyo kuchukua nafasi hiyo.
Twite anatazamiwa kutumia nafasi hiyo kuiongoza Yanga kwenye michezo yote ya Kombe la Mapinduzi na ile...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJUQKkv5WM9YNpWTA40gpxFOkiSEaT3jgkZLbUqbimUfrMtWUGWg*kaVGPwhjG9VX-YHppJdw5QHsKVRRPwZeUc1w/14.gif?width=650)
Twite: Yanga imenizuia kwenda Lupopo
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6YQSgAcoLu67aNd6g9vRq6uJFWVdv2kiGNirHNgrBxVN1KP2B*rSZkPnY5mmmAiavdMEvZnoxZ*z-MPepwxluK7/azam.jpg?width=650)
Azam yamsafirisha Twite, Yanga yashtukia
9 years ago
Habarileo09 Dec
Mrithi wa Coutinho aiumiza Yanga
UONGOZI wa Yanga umesema haujutii uamuzi wake ya kuachana na kiungo Mbrazili Andrey Coutinho kwani wapo katika mikakati ya kupata mchezaji mwenye tija katika michuano ya kimataifa mwakani.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-AKYztlnEv-U/VKI0eEHcyfI/AAAAAAADTYM/rI3EafiYGZk/s72-c/Police-Coach-Goran-warns-LLB-to-expect-fightback-in-Kigali.png)
BAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA
![](http://1.bp.blogspot.com/-AKYztlnEv-U/VKI0eEHcyfI/AAAAAAADTYM/rI3EafiYGZk/s1600/Police-Coach-Goran-warns-LLB-to-expect-fightback-in-Kigali.png)
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...