Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Twite apewa cheo kipya Yanga

MBUYUTWITEKiungo wa Yanga Mbuyu Twite.

Hans Mloli,Dar es Salaam
UONGOZI wa benchi la ufundi la Yanga umempa cheo cha unahodha, kiungo wa timu hiyo Mbuyu Twite baada ya Haruna Niyonzima kutemwa klabuni hapo.

Awali kabla ya Niyonzima ambaye pia ni nahodha wa timu ya taifa ya Rwanda kupewa wadhifa huo cheo hicho kilikuwa mikononi mwa Twite, hivyo hii ni mara ya pili kwa kiraka huyo kuchukua nafasi hiyo.

Twite anatazamiwa kutumia nafasi hiyo kuiongoza Yanga kwenye michezo yote ya Kombe la Mapinduzi na ile...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mh Sitta apewa cheo cha Mwizukulu mkulu wa Unyanyembe!

Mtemi wa Unyanyembe Msagata Ngulati Fundikira akimtambikia Mh Samuel Sitta ambaye ni binamu yake.

Mtemi wa Unyanyembe Msagata Ngulati Fundikira leo hii asubuhi alimpa cheo cha Mwizukulu mkulu Mh Samuel Sitta katika kutambua safari yake ya kukiomba chama chake cha CCM kimpe ridhaa ya kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao.Mh Samuel Sitta akiwa na mkewe Mh Magreth Sitta wakisubiri kutambikiwa.Mtemi wa Unyanyembe Msgata Fundikira akisisitiza jambo katika...

 

11 years ago

GPL

TWITE AONGEZA MKATABA YANGA

Mlinzi kiraka wa timu ya Young Africans Mbuyu Junior Twite. Mlinzi kiraka wa timu ya Young Africans Mbuyu Junior Twite leo ameongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga baada ya kufikia makubaliano na uongozi na kupata majibu ya Shirikisho la Soka nchini TFF juu ya idadi ya wachezaji wa kimataifa kwa msimu ujao 2014/2015. Usajili wa Twite umefanyika leo makao makuu ya klabu ya Yanga chini ya Katibu...

 

11 years ago

GPL

Yanga yamalizana na mrithi wa Twite

Beki wa Yanga, Mbuyu Twite. Na Hans Mloli
DALILI za wazi za Yanga kuonyesha kukata tamaa ya kuendelea kuwa na beki wake, Mnyarwanda Mbuyu Twite, zimefikia kwenye kiwango cha juu baada ya kukubali kuachia aondoke kwa kuwa imeshindwa dau analohitaji, lakini sasa imeenda mbele zaidi kwa kutafuta mrithi wake mapema. Twite amekuwa akiwaniwa na Azam FC kwa muda mrefu na tayari ameshafanya mazungumo na viongozi wa klabu zote, lakini...

 

11 years ago

GPL

Yanga yampa Twite milioni 40

Beki wa kimataifa wa Yanga, Mbuyu Twite. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefanikisha usajili wa beki wake kiraka Mbuyu Twite kwa dau la dola milioni 25 (sawa na shilingi milioni 40). Kiraka huyo juzi Jumatatu alisaini mkataba wa mwaka mmoja kwa ajili ya kuichezea timu hiyo itakayoshiriki Kombe la Shirikisho Afrika  na Ligi Kuu Bara. Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa beki huyo, wamefikia...

 

11 years ago

GPL

Twite: Kifo kimenibakiza Yanga

Beki wa kimataifa wa Yanga, Mbuyu Twite. Na Wilbert Molandi
BEKI kiraka wa Yanga, Mbuyu Twite, ametaja sababu moja ya yeye kusitisha mpango wake wa kusaini Azam FC na kuongeza mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea Jangwani. Awali mshambuliaji huyo alitajwa kuwepo katika orodha ya wachezaji ambao wangesaini kuichezea Azam FC baada ya timu hiyo kumnasa mshambuliaji Mrundi, Didier Kavumbagu na kiungo Frank Domayo, kufuatia...

 

11 years ago

GPL

Twite: Yanga imenizuia kwenda Lupopo

Beki wa kimataifa wa Yanga, Mbuyu Twite. Na Wilbert  Molandi
BEKI kiraka wa kimataifa wa Yanga, Mbuyu Twite ameitaja timu yake kuwa ndiyo iliyoweka kizuizi cha yeye kujiunga na Lupopo FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Kongo. Twite ambaye mkataba wake wa kuichezea Yanga ulimalizika Aprili 19, mwaka huu alikuwa mbioni kuondoka klabuni hapo lakini mambo yakawa yanaenda ndivyo sivyo. Twite amezungumza na Championi Ijumaa na kusema...

 

11 years ago

GPL

Azam yamsafirisha Twite, Yanga yashtukia

Beki wa timu ya Yanga SC, Mbuyu Twite. Na Hans Mloli
IMEELEZWA kuwa kama si Yanga kushtukia mchezo mapema uliokuwa unaendelea baina ya beki wao, Mbuyu Twite na Azam FC, basi siku si nyingi angekuwa mali ya Azam FC. Twite, raia wa Rwanda, mwenye asili ya DR Congo, anatarajia kumaliza mkataba wa kuichezea Yanga mwisho wa msimu huu, awali ilielezwa anasubiri ligi iishe ndiyo afanye mazungumzo na uongozi wa Yanga, lakini...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yampa cheo kingine kocha wao

>Uongozi wa klabu ya Yanga umemwongezea  majukumu kocha wao mpya, Hans Van Der Plyum raia wa Uholanzi  kwa kumpa cheo cha Mkurugenzi wa Ufundi huku ukimtaka  awasilishe kwa maandishi ripoti yake kila wiki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani