Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TWITE AONGEZA MKATABA YANGA

Mlinzi kiraka wa timu ya Young Africans Mbuyu Junior Twite. Mlinzi kiraka wa timu ya Young Africans Mbuyu Junior Twite leo ameongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga baada ya kufikia makubaliano na uongozi na kupata majibu ya Shirikisho la Soka nchini TFF juu ya idadi ya wachezaji wa kimataifa kwa msimu ujao 2014/2015. Usajili wa Twite umefanyika leo makao makuu ya klabu ya Yanga chini ya Katibu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wawa aongeza mkataba Azam

BEKI wa kati wa Azam FC kutoka Ivory Coast, Serge Wawa ameingia mkataba mpya na klabu yake ambao utadumu 2016/17.

 

10 years ago

BBCSwahili

Steve Hanse aongeza mkataba

Kocha Steve Hansen wa timu ya Rugby ya New Zealand amesaini kandarasi mpya itayomuweka mpaka mwaka 2017.

 

10 years ago

BBCSwahili

Luis Enrique aongeza mkataba Barca

Mkufunzi wa timu ya soka ya Barcelona Luis Enrique ameongeza mkataba mpaka mwaka 2017

 

10 years ago

GPL

WIZKID AONGEZA MKATABA NA KAMPUNI YA VINYWAJI

Nyota wa muziki nchini Nigeria, Wizkid. NYOTA wa muziki nchini Nigeria, Wizkid, mambo yanazidi kumonyookea baada ya kuzindua albamu yake na kupata fursa za kuonyesha shoo katika miji mbalimbali duniani. Wizkid akisaini mkataba huo.
Mbali na kusaini mkataba na kampuni la mawasiliano la Nigeria, hivi majuzi amesaini mkataba na kampuni la vinywaji nchini humo baada ya mkataba wa miaka mitatu kumalizika ambapo amesaini mkataba wa...

 

10 years ago

GPL

Okwi aongeza mkataba wa mwaka mmoja Simba

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi(kulia) akisaini mkataba.
Na Mwandishi Wetu
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi, ameongezewa mkataba mwingine wa mwaka mmoja wa kuichezea timu hiyo. Mganda huyo ameongezewa mkataba huo wakati ule wa awali ukitarajiwa kumalizika mapema Januari, mwakani. Alitua Msimbazi kwa utata akitokea Yanga. Simba tayari imewasajili wachezaji watatu wa kimataifa kutoka...

 

11 years ago

GPL

Yanga yampa Twite milioni 40

Beki wa kimataifa wa Yanga, Mbuyu Twite. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefanikisha usajili wa beki wake kiraka Mbuyu Twite kwa dau la dola milioni 25 (sawa na shilingi milioni 40). Kiraka huyo juzi Jumatatu alisaini mkataba wa mwaka mmoja kwa ajili ya kuichezea timu hiyo itakayoshiriki Kombe la Shirikisho Afrika  na Ligi Kuu Bara. Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa beki huyo, wamefikia...

 

11 years ago

GPL

Twite: Kifo kimenibakiza Yanga

Beki wa kimataifa wa Yanga, Mbuyu Twite. Na Wilbert Molandi
BEKI kiraka wa Yanga, Mbuyu Twite, ametaja sababu moja ya yeye kusitisha mpango wake wa kusaini Azam FC na kuongeza mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea Jangwani. Awali mshambuliaji huyo alitajwa kuwepo katika orodha ya wachezaji ambao wangesaini kuichezea Azam FC baada ya timu hiyo kumnasa mshambuliaji Mrundi, Didier Kavumbagu na kiungo Frank Domayo, kufuatia...

 

11 years ago

GPL

Yanga yamalizana na mrithi wa Twite

Beki wa Yanga, Mbuyu Twite. Na Hans Mloli
DALILI za wazi za Yanga kuonyesha kukata tamaa ya kuendelea kuwa na beki wake, Mnyarwanda Mbuyu Twite, zimefikia kwenye kiwango cha juu baada ya kukubali kuachia aondoke kwa kuwa imeshindwa dau analohitaji, lakini sasa imeenda mbele zaidi kwa kutafuta mrithi wake mapema. Twite amekuwa akiwaniwa na Azam FC kwa muda mrefu na tayari ameshafanya mazungumo na viongozi wa klabu zote, lakini...

 

11 years ago

GPL

Azam yamsafirisha Twite, Yanga yashtukia

Beki wa timu ya Yanga SC, Mbuyu Twite. Na Hans Mloli
IMEELEZWA kuwa kama si Yanga kushtukia mchezo mapema uliokuwa unaendelea baina ya beki wao, Mbuyu Twite na Azam FC, basi siku si nyingi angekuwa mali ya Azam FC. Twite, raia wa Rwanda, mwenye asili ya DR Congo, anatarajia kumaliza mkataba wa kuichezea Yanga mwisho wa msimu huu, awali ilielezwa anasubiri ligi iishe ndiyo afanye mazungumzo na uongozi wa Yanga, lakini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani