Twite: Kifo kimenibakiza Yanga
![](http://api.ning.com:80/files/NOzw*b8EyMpFQwsA3775HlimdAm67JwKV5FA4ijTWVJJrGgjoGsiATpbKoiT80cGnK-M4nxfgvqiR3Ajg9biDqOjytb*Xn-F/TWITE.gif?width=650)
Beki wa kimataifa wa Yanga, Mbuyu Twite. Na Wilbert Molandi BEKI kiraka wa Yanga, Mbuyu Twite, ametaja sababu moja ya yeye kusitisha mpango wake wa kusaini Azam FC na kuongeza mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea Jangwani. Awali mshambuliaji huyo alitajwa kuwepo katika orodha ya wachezaji ambao wangesaini kuichezea Azam FC baada ya timu hiyo kumnasa mshambuliaji Mrundi, Didier Kavumbagu na kiungo Frank Domayo, kufuatia...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOZ3nYyBa9Sf7dJC*-f*d2ZmDtl5BMb1qtKCt6vysVfSFXBZe-G0ypW2Q-6*PeW3TGyKp-jcnRYgcgpNFQKsaWGF/tw.gif?width=650)
Yanga yamalizana na mrithi wa Twite
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yKf2ULbTEhEJ2aiy24Tq-XxjDylK8KfXUE5usyFwoyW2abAGsPTfF0*Q8eUEP14xgXvMldTD7KYx*oojuzLywTp/IMG20120805WA002.jpg)
TWITE AONGEZA MKATABA YANGA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfgqFIYnObOhe9uSZtJ68a9uG7YwCVhKzQaRwr4et3a-OntoiBUltNrbiGhRfyOFH8fd5SMs6m-4njF99urfTMve/twite.gif?width=650)
Yanga yampa Twite milioni 40
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6YQSgAcoLu67aNd6g9vRq6uJFWVdv2kiGNirHNgrBxVN1KP2B*rSZkPnY5mmmAiavdMEvZnoxZ*z-MPepwxluK7/azam.jpg?width=650)
Azam yamsafirisha Twite, Yanga yashtukia
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Twite apewa cheo kipya Yanga
Kiungo wa Yanga Mbuyu Twite.
Hans Mloli,Dar es Salaam
UONGOZI wa benchi la ufundi la Yanga umempa cheo cha unahodha, kiungo wa timu hiyo Mbuyu Twite baada ya Haruna Niyonzima kutemwa klabuni hapo.
Awali kabla ya Niyonzima ambaye pia ni nahodha wa timu ya taifa ya Rwanda kupewa wadhifa huo cheo hicho kilikuwa mikononi mwa Twite, hivyo hii ni mara ya pili kwa kiraka huyo kuchukua nafasi hiyo.
Twite anatazamiwa kutumia nafasi hiyo kuiongoza Yanga kwenye michezo yote ya Kombe la Mapinduzi na ile...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJUQKkv5WM9YNpWTA40gpxFOkiSEaT3jgkZLbUqbimUfrMtWUGWg*kaVGPwhjG9VX-YHppJdw5QHsKVRRPwZeUc1w/14.gif?width=650)
Twite: Yanga imenizuia kwenda Lupopo
9 years ago
Habarileo17 Oct
Yanga, Azam ni kifo
YANGA leo inaikaribisha Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaoamua nani akalie kiti cha uongozi wa ligi hiyo inayoshirikisha jumla ya timu 16.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
TAARIFA YA KIFO KUTOKA YANGA SC