Twite: Yanga imenizuia kwenda Lupopo

Beki wa kimataifa wa Yanga, Mbuyu Twite. Na Wilbert Molandi BEKI kiraka wa kimataifa wa Yanga, Mbuyu Twite ameitaja timu yake kuwa ndiyo iliyoweka kizuizi cha yeye kujiunga na Lupopo FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Kongo. Twite ambaye mkataba wake wa kuichezea Yanga ulimalizika Aprili 19, mwaka huu alikuwa mbioni kuondoka klabuni hapo lakini mambo yakawa yanaenda ndivyo sivyo. Twite amezungumza na Championi Ijumaa na kusema...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
Twite: Kifo kimenibakiza Yanga
11 years ago
GPL
Yanga yamalizana na mrithi wa Twite
11 years ago
GPL
Yanga yampa Twite milioni 40
11 years ago
GPL
TWITE AONGEZA MKATABA YANGA
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Twite apewa cheo kipya Yanga
Kiungo wa Yanga Mbuyu Twite.
Hans Mloli,Dar es Salaam
UONGOZI wa benchi la ufundi la Yanga umempa cheo cha unahodha, kiungo wa timu hiyo Mbuyu Twite baada ya Haruna Niyonzima kutemwa klabuni hapo.
Awali kabla ya Niyonzima ambaye pia ni nahodha wa timu ya taifa ya Rwanda kupewa wadhifa huo cheo hicho kilikuwa mikononi mwa Twite, hivyo hii ni mara ya pili kwa kiraka huyo kuchukua nafasi hiyo.
Twite anatazamiwa kutumia nafasi hiyo kuiongoza Yanga kwenye michezo yote ya Kombe la Mapinduzi na ile...
11 years ago
GPL
Azam yamsafirisha Twite, Yanga yashtukia
11 years ago
GPL
Yanga yazuiwa kwenda Uturuki
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Yanga kwenda Uturuki Alhamisi