Azam yamsafirisha Twite, Yanga yashtukia
![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6YQSgAcoLu67aNd6g9vRq6uJFWVdv2kiGNirHNgrBxVN1KP2B*rSZkPnY5mmmAiavdMEvZnoxZ*z-MPepwxluK7/azam.jpg?width=650)
Beki wa timu ya Yanga SC, Mbuyu Twite. Na Hans Mloli IMEELEZWA kuwa kama si Yanga kushtukia mchezo mapema uliokuwa unaendelea baina ya beki wao, Mbuyu Twite na Azam FC, basi siku si nyingi angekuwa mali ya Azam FC. Twite, raia wa Rwanda, mwenye asili ya DR Congo, anatarajia kumaliza mkataba wa kuichezea Yanga mwisho wa msimu huu, awali ilielezwa anasubiri ligi iishe ndiyo afanye mazungumzo na uongozi wa Yanga, lakini...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jGaZI2JWlZGZzs2FP-zmMan*MgBFrN1*WokQ4*7hkbleMf3-LSCkPcy-*VAtedNVAnv54Is1XLRNhX9cd0FwJbA/YANGA.jpg?width=650)
Yanga yashtukia uongo wa Al Ahly
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOZ3nYyBa9Sf7dJC*-f*d2ZmDtl5BMb1qtKCt6vysVfSFXBZe-G0ypW2Q-6*PeW3TGyKp-jcnRYgcgpNFQKsaWGF/tw.gif?width=650)
Yanga yamalizana na mrithi wa Twite
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NOzw*b8EyMpFQwsA3775HlimdAm67JwKV5FA4ijTWVJJrGgjoGsiATpbKoiT80cGnK-M4nxfgvqiR3Ajg9biDqOjytb*Xn-F/TWITE.gif?width=650)
Twite: Kifo kimenibakiza Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfgqFIYnObOhe9uSZtJ68a9uG7YwCVhKzQaRwr4et3a-OntoiBUltNrbiGhRfyOFH8fd5SMs6m-4njF99urfTMve/twite.gif?width=650)
Yanga yampa Twite milioni 40
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yKf2ULbTEhEJ2aiy24Tq-XxjDylK8KfXUE5usyFwoyW2abAGsPTfF0*Q8eUEP14xgXvMldTD7KYx*oojuzLywTp/IMG20120805WA002.jpg)
TWITE AONGEZA MKATABA YANGA
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Twite apewa cheo kipya Yanga
Kiungo wa Yanga Mbuyu Twite.
Hans Mloli,Dar es Salaam
UONGOZI wa benchi la ufundi la Yanga umempa cheo cha unahodha, kiungo wa timu hiyo Mbuyu Twite baada ya Haruna Niyonzima kutemwa klabuni hapo.
Awali kabla ya Niyonzima ambaye pia ni nahodha wa timu ya taifa ya Rwanda kupewa wadhifa huo cheo hicho kilikuwa mikononi mwa Twite, hivyo hii ni mara ya pili kwa kiraka huyo kuchukua nafasi hiyo.
Twite anatazamiwa kutumia nafasi hiyo kuiongoza Yanga kwenye michezo yote ya Kombe la Mapinduzi na ile...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJUQKkv5WM9YNpWTA40gpxFOkiSEaT3jgkZLbUqbimUfrMtWUGWg*kaVGPwhjG9VX-YHppJdw5QHsKVRRPwZeUc1w/14.gif?width=650)
Twite: Yanga imenizuia kwenda Lupopo