Yanga yashtukia uongo wa Al Ahly
![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jGaZI2JWlZGZzs2FP-zmMan*MgBFrN1*WokQ4*7hkbleMf3-LSCkPcy-*VAtedNVAnv54Is1XLRNhX9cd0FwJbA/YANGA.jpg?width=650)
Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Hans Mloli KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amewashtukia Al Ahly na kukiri kwamba waliwadanganya Yanga kwa kudai watakuja na winga wao Emad Motaeb, lakini haikuwa hivyo. Al Ahly ilitoa taarifa mbalimbali kwenye vyombo vya habari vya Cairo kwamba itatua na winga wao hatari Motaeb jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga lakini...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6YQSgAcoLu67aNd6g9vRq6uJFWVdv2kiGNirHNgrBxVN1KP2B*rSZkPnY5mmmAiavdMEvZnoxZ*z-MPepwxluK7/azam.jpg?width=650)
Azam yamsafirisha Twite, Yanga yashtukia
11 years ago
BBCSwahili02 Mar
Yanga yaibwaga Al-Ahly 1-0
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Tofauti ya Yanga na Al Ahly
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania bara, Yanga, wametinga raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wamefika hatua hiyo baada ya kuwatupa nje Komorozine ya Domoni, Comoro kwa kuwanyuka jumla...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n7ZUxQJY0YtcX-rHWIQGp1oZBYY8TKRD74Ke4MY6RA8qxs7m5979PIgM2-de9ic5R4naDGiHGoYFQuQ*ahlhgXS1MQdH7wKA/YANGA.jpg?width=650)
Yanga: Tuliwadanganya Al Ahly
11 years ago
BBCSwahili01 Mar
Yanga kupepetana na Al-Ahly
10 years ago
Dewji Blog10 Mar
Watanzania tupuuze habari za Uongo, uzushi, Ukipata ujumbe wa chuki, matusi au uongo, FUTA DELETE KABISA!
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Wasomaji wa Mo dewji blog mnaoendelea kuperuzi mtandao huu bila shaka ni wazima wa afya, tunashukuru uwepo wenu na kutembelea kwenu kwenye mtandao huu ndio faraja kwetu sote sie tunaowapasha habari na kwenu mnaopokea habari, tupo pamoja.
Tahariri ya leo Machi 10, Tunazungumzia namna ya jinsi Tanzania tunavyopiga hatua moja hadi nyingine hasa katika masuala ya TEKOHAMA/ICT.. Hasa kupitia mitandao yaani Intaneti.
Hata hivyo licha ya kuwa huru kwa kila mmoja...
11 years ago
Mwananchi06 Mar
Yanga yaishika pabaya Ahly
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Yanga yawafuata Al Ahly kwa 12-2
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga, jana wameishikisha adabu Komorozine de Domoni, baada ya kuichapa mabao 5-2 kwenye dimba la Sheikh Said Mohammed International jijini...
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Kocha wa Yanga aishtukia Al Ahly