Yanga: Tuliwadanganya Al Ahly
![](http://api.ning.com:80/files/n7ZUxQJY0YtcX-rHWIQGp1oZBYY8TKRD74Ke4MY6RA8qxs7m5979PIgM2-de9ic5R4naDGiHGoYFQuQ*ahlhgXS1MQdH7wKA/YANGA.jpg?width=650)
Na Khadija Mngwai TIMU ya Yanga imeibuka na kusema kuwa waliwadanganya Al Ahly ya Misri wanayotarajia kukutana nayo Machi Mosi, mwaka huu kufuatia kutumia mfumo tofauti na ule wanaotarajia kuutumia pindi watakapokutana na timu hiyo. Mashushushu wa Al Ahly, walitua nchini kwa ajili ya kuiangalia Yanga ilipokuwa ikivaana na Komorozine katika mechi ya awali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika na kufanikiwa kuichapa mabao 7-0. Yanga...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Tofauti ya Yanga na Al Ahly
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania bara, Yanga, wametinga raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wamefika hatua hiyo baada ya kuwatupa nje Komorozine ya Domoni, Comoro kwa kuwanyuka jumla...
11 years ago
BBCSwahili02 Mar
Yanga yaibwaga Al-Ahly 1-0
11 years ago
BBCSwahili01 Mar
Yanga kupepetana na Al-Ahly
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Kasi ya Yanga yawavuruga Al Ahly
11 years ago
TheCitizen24 Feb
Yanga need self-belief to beat Al Ahly
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Yanga ‘Daudi’, Al Ahly ‘Goliath’
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6da33FpYpp4kSiofbB7ON3p5Nj9eTV*bhXunAecU5R-S7P8CWazc0VXZ9Tl4M7X5Jw-4F1Gxftll0TZIkaDb2eUl/YANGA.gif?width=600)
Yanga, Al Ahly hakuna mashabiki
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bDmjSM9kXXYXy*UmQTS8Ha4hkkU6BMQEOWOufkS9TC3cpMnU8z4lOHMb*LUjErM7eQGypzyhD4hLpjt8SGsVwoFHYPbTzAF-/al.jpg?width=650)
Al Ahly watimuliwa hoteli ya Yanga SC
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Yanga jipangeni kuwakabili Ahly
TIMU ya Yanga imefanikiwa kutinga raundi ya kwanza ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya kuwang’oa wapinzani wao Komorozine ya Comoro kwa jumla ya mabao 12-2. Idadi hiyo...