Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga, Al Ahly hakuna mashabiki

Na Mwandishi Wetu
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga, watacheza mechi yao ya marudiano na Al Ahly bila ya kuwa na mashabiki watakaoingia kutazama mechi hiyo. Mechi hiyo itakayopigwa Machi Mosi jijini Cairo haitakuwa na mashabiki isipokuwa wachache tu watakaopata kibali kutoka kwa Shirikisho la Soka la Misri (EFA). Mwaka juzi zilizuka vurugu kubwa baada ya timu ya Al Masry kuwachapa… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Yanga: Tuliwadanganya Al Ahly

Na Khadija Mngwai TIMU ya Yanga imeibuka na kusema kuwa waliwadanganya Al Ahly ya Misri wanayotarajia kukutana nayo Machi Mosi, mwaka huu kufuatia kutumia mfumo tofauti na ule wanaotarajia kuutumia pindi watakapokutana na timu hiyo. Mashushushu wa Al Ahly, walitua nchini kwa ajili ya kuiangalia Yanga ilipokuwa ikivaana na Komorozine katika mechi ya awali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika na kufanikiwa kuichapa mabao 7-0.
Yanga...

 

11 years ago

BBCSwahili

Yanga yaibwaga Al-Ahly 1-0

Timu Yanga imevunja mwiko wa kutozifunga timu za Afrika Kaskazini kwa kuichapa Al-Alhly ya Misri 1-0

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tofauti ya Yanga na Al Ahly

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania bara, Yanga, wametinga raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wamefika hatua hiyo baada ya kuwatupa nje Komorozine ya Domoni, Comoro kwa kuwanyuka jumla...

 

11 years ago

BBCSwahili

Yanga kupepetana na Al-Ahly

Yanga ya Tanzania, leo wanakabiliana na al-Ahly ya Misri katika mchezo wa kombe la mabingwa Afrika

 

11 years ago

Mwananchi

Kasi ya Yanga yawavuruga Al Ahly

>Beki wa Al- Ahly, Said Ahmed Shedid amesema mechi ya marudiano itakuwa ngumu kwao kutokana na kasi ya washambuliaji wa Yanga pamoja na uwezekano wa mechi hiyo kuchezwa nje ya Cairo na El Gouna.

 

11 years ago

GPL

Yanga yashtukia uongo wa Al Ahly

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Hans Mloli
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amewashtukia Al Ahly na kukiri kwamba waliwadanganya Yanga kwa kudai watakuja na winga wao Emad Motaeb, lakini haikuwa hivyo. Al Ahly ilitoa taarifa mbalimbali kwenye vyombo vya habari vya Cairo kwamba itatua na winga wao hatari Motaeb jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga lakini...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yaishika pabaya Ahly

Uongozi wa Klabu ya Al Ahly ya Misri umekataa mchezo wa baina yao na wawakilishi wa Tanzania, Yanga kupigwa katika mji wa El Gouna na badala yake umependekeza ufanyike katika jiji la Alexandria.

 

11 years ago

TheCitizen

Yanga in do-or-die tie against Ahly

Young Africans are on the verge of making history today when they confront Al Ahly in the CAF Champions League first round, second leg match at the Harras El-Hedoud Stadium, Alexandria.

 

11 years ago

GPL

Al Ahly watimuliwa hoteli ya Yanga SC

UONGOZI wa Hoteli ya Sheraton Montazah jijini hapa, ulifanya kitendo ambacho wengi hawakukitegemea baada ya kugoma kuipokea timu ya Al Ahly. Ahly pamoja na kujua kwamba Yanga walikuwa wame ‘book’ kuishi katika hoteli hiyo iliyo ufukweni mwa Bahari ya Mediterranean, bado na wenyewe walisisitiza kutaka kuishi hapo. Uongozi wa hoteli hiyo uliwasisitiza kwamba hautaweza kuchukua timu mbili kwa wakati mmoja ingawa hoteli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani