Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga ‘Daudi’, Al Ahly ‘Goliath’

Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm ametabiri mchezo kati ya timu yake na Al Ahly ni sawa na kisa cha Daudi na Goliath na kuahidi kuishangaza dunia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

YANGA VS AL AHLY: Vita ya Daudi na Goliath iliyoisha kwa rekodi mbili

NDANI ya Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, wenyeji Yanga juzi waliwaalika Al Ahly ya Misri, mabingwa wa kihistoria na watetezi wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, wakitwaa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Yanga yaibwaga Al-Ahly 1-0

Timu Yanga imevunja mwiko wa kutozifunga timu za Afrika Kaskazini kwa kuichapa Al-Alhly ya Misri 1-0

 

11 years ago

GPL

Yanga: Tuliwadanganya Al Ahly

Na Khadija Mngwai TIMU ya Yanga imeibuka na kusema kuwa waliwadanganya Al Ahly ya Misri wanayotarajia kukutana nayo Machi Mosi, mwaka huu kufuatia kutumia mfumo tofauti na ule wanaotarajia kuutumia pindi watakapokutana na timu hiyo. Mashushushu wa Al Ahly, walitua nchini kwa ajili ya kuiangalia Yanga ilipokuwa ikivaana na Komorozine katika mechi ya awali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika na kufanikiwa kuichapa mabao 7-0.
Yanga...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tofauti ya Yanga na Al Ahly

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania bara, Yanga, wametinga raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wamefika hatua hiyo baada ya kuwatupa nje Komorozine ya Domoni, Comoro kwa kuwanyuka jumla...

 

11 years ago

BBCSwahili

Yanga kupepetana na Al-Ahly

Yanga ya Tanzania, leo wanakabiliana na al-Ahly ya Misri katika mchezo wa kombe la mabingwa Afrika

 

11 years ago

TheCitizen

Yanga need self-belief to beat Al Ahly

Young Africans chief coach’s confidence on the ability of his players to take on big opponents is a good base for the team’s success against Egypt’s Al Ahly this weekend.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga Manzese waikalia Ahly

WANACHAMA wa Klabu ya Yanga, tawi la Manzese jijini Dar es Salaam, leo wanakutana kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo ikiwemo kusaidiana na uongozi kuelekea mechi ya awali ya raundi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Ahly: Kuitoa Yanga ni bahati tu

Kocha wa Al Ahly, Mohamed Youssef amesifu umakini na nidhamu ya hali juu ya mchezo ilioonyeshwa na wachezaji wa Yanga na kusema ushindi wa timu yake ulikuwa wa ‘ngekewa’ na si uwezo wa uwanjani.

 

11 years ago

TheCitizen

Yanga in do-or-die tie against Ahly

Young Africans are on the verge of making history today when they confront Al Ahly in the CAF Champions League first round, second leg match at the Harras El-Hedoud Stadium, Alexandria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani