TAARIFA YA KIFO KUTOKA YANGA SC

Marehemu Maulid Kiula enzi za uhai wake. Uongozi wa klabu ya Young Africans unasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Dereva wa Basi Kubwa la Wachezaji (Yutong) Bw Maulid Kiula kilichotokea alfajiri ya leo Ilala jijini Dar es salaam. Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwa marehemu mtaa wa Chunya karibu na Bungoni Ilala jijini Dar es salaam. Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Taarifa ya kifo kwa vyombo vya habari kutoka JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ).

Brigedia Jenerali Hashim Iddi Mbita (mstaafu) enzi za uhai wake.

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
Simu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi, Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203, Telex : 41051 DAR ESSALAAM, 28 Aprili, 2015. Tele Fax : 2153426 Barua pepe : ulinzimagazine@yahoo.co.uk Tovuti : www.tpdf.mil.tz Taarifa ya kifo kwa Vyombo vya...
11 years ago
GPL
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA YANGA
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Michuzi
TAARIFA RASMI KUTOKA JESHI LA MAGEREZA KUHUSU TAARIFA ZA UZUSHI ZINAZOZAGAA KUWA BABU SEYA NA MAWAE WAMEACHIWA HURU

Napenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa taarifa hizo zote zilizotolewa kupitia njia hizo ni za Uongo na uzushi mkubwa na zinalenga kuipotosha jamii kwani wafungwa hao wapo gerezani na...
5 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
TAARIFA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KUHUSU MAHUJAJI KUTOKA TANZANIA WALIOFARIKI NA KUJERUHIWA HUKO SAUDI ARABIA

Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600
20 KIVUKONI FRONT, P.O. BOX 9000, 11466 DAR ES SALAAM, Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imepokea kwa...
11 years ago
Michuzi04 Oct
TAARIFA YA KIFO
5 years ago
Michuzi
10 years ago
GPL
TAARIFA YA POLISI KUHUSU KIFO CHA MCHUNGAJI MTIKILA