TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA YANGA
Uongozi wa klabu ya Young Africans unapenda kuwajulisha wanachama wake, wapenzi wa soka na wadau kwa ujumla kuwa taarifa za kuhama kwa wachezai wake Didier Kavumbagu na Frank Domayo kwenda kujiunga na Azam FC zisiwakatishe tamaa, ni mapenzi ya wachezaj wenyewe kwani walishakubaliana na uongozi kila kitu juu ya kuendelea kuitumikia Yanga kabla ya siku mbili hizi kuonekana wakiwa wamejiunga na wana ramba ramba. Yanga tayari ina...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA BASATA
10 years ago
Michuzi10 years ago
GPLTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA TWAWEZA
11 years ago
GPLTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA NHC
10 years ago
Vijimambo25 Jan
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA JESHI LA WANANCHI (JWTZ)
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linapenda kutoa taarifa kwa wananchi na Vyombo vya Habari kuhusu mgogoro wa eneo la TONDORONI lililopo katika Wilaya ya Kisarawe kama ilivyokaririwa na baadhi ya Vyombo vya Habari hapa nchini.Taarifa zilizotolewa na kukaririwa na baadhi ya Vyombo vya Habari kwamba Wanajeshi wametumia nguvu kuwatoa wananchi eneo la TONDORONI na baadhi yao kudai kupotelewa na mali zao siyo za kweli na ni za kuwapotosha wananchi kwa sababu wananchi hao walitaarifiwa...
9 years ago
VijimamboTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA CCM KUHUSU KUFUNGA KAMPENI
Kufunga Kampeni
CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi wa CCM Kitaifa waliopo madarakani na wastaafu. Mikoa hiyo na viongozi watakaoongoza mikutano hiyo ni kama ifuatavyo:
1. Mwanza – Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa...
10 years ago
MichuziTaarifa ya kifo kwa vyombo vya habari kutoka JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ).
Brigedia Jenerali Hashim Iddi Mbita (mstaafu) enzi za uhai wake.
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
Simu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi, Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203, Telex : 41051 DAR ESSALAAM, 28 Aprili, 2015. Tele Fax : 2153426 Barua pepe : ulinzimagazine@yahoo.co.uk Tovuti : www.tpdf.mil.tz Taarifa ya kifo kwa Vyombo vya...
10 years ago
MichuziTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA TFF KUHUSU MKUSANYIKO WA U12 DAR ES SALAAM
Watoto wenye umri chini ya miaka 12 wa Mkoa wa Dar es Salaam wanakusanyika kesho Jumamosi (Novemba 22 mwaka huu) asubuhi kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa ajili ya kusaka kombaini ya mkoa.
Mkusanyiko wa kusaka kombaini hiyo kwa ajili ya timu itakayoshiriki mashindano ya Taifa yatakayofanyika mwishoni mwa mwezi ujao uko chini ya Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA).
Wachezaji hao wataanza kujaribiwa saa 1 hadi saa 5 asubuhi. Mashindano ya Taifa yatafanyika jijini Mwanza...
11 years ago
GPL26 Dec
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA CCM DMV KUJIUZULU KWA KATINU MKUU, JACOB KINYEMI