Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA TFF KUHUSU MKUSANYIKO WA U12 DAR ES SALAAM


Watoto wenye umri chini ya miaka 12 wa Mkoa wa Dar es Salaam wanakusanyika kesho Jumamosi (Novemba 22 mwaka huu) asubuhi kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa ajili ya kusaka kombaini ya mkoa.
Mkusanyiko wa kusaka kombaini hiyo kwa ajili ya timu itakayoshiriki mashindano ya Taifa yatakayofanyika mwishoni mwa mwezi ujao uko chini ya Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA).
Wachezaji hao wataanza kujaribiwa saa 1 hadi saa 5 asubuhi. Mashindano ya Taifa yatafanyika jijini Mwanza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA CCM KUHUSU KUFUNGA KAMPENI

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni

CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi wa CCM Kitaifa waliopo madarakani na wastaafu. Mikoa hiyo na viongozi watakaoongoza mikutano hiyo ni kama ifuatavyo: 
1.    Mwanza – Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa...

 

11 years ago

GPL

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TOKA TFF

Rais wa TFF, Jamal Malinzi.…

 

11 years ago

GPL

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA YANGA

Uongozi wa klabu ya Young Africans unapenda kuwajulisha wanachama wake, wapenzi wa soka na wadau kwa ujumla kuwa taarifa za kuhama kwa wachezai wake Didier Kavumbagu na Frank Domayo kwenda kujiunga na Azam FC zisiwakatishe tamaa, ni mapenzi ya wachezaj wenyewe kwani walishakubaliana na uongozi kila kitu juu ya kuendelea kuitumikia Yanga kabla ya siku mbili hizi kuonekana wakiwa wamejiunga na wana ramba ramba. Yanga tayari ina...

 

10 years ago

GPL

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA BASATA

GODFREY L. MNGEREZA ATEULIWA KUWA KATIBU MTENDAJI WA BASATA Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linapenda kuwatangazia Wasanii na wadau wote wa Sanaa nchini kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kifungu namba 5 (1) cha Sheria namba 23 ya mwaka 1984 iliyolianzisha Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) amemteua ndugu Godfrey Lebejo Mngereza kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la...

 

11 years ago

GPL

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA NHC‏

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba NHC Bw. David Shambwe akisoma taarifa ya shirika hilo kukanusha taarifa zilizoandikwa na gazeti moja la kila siku na mitandao ya kijamii kuwa Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu Kyando ameundiwa zengwe na baadhi ya wabunge ili aondolewe katika shirika hilo, wanaofuatia katika picha ni Muungano Saguya Kaimu, Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Jamii, Bw. Martin Mdoe, Mkuu wa...

 

10 years ago

GPL

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI‏ KUTOKA TWAWEZA

MWAKA MMOJA KABLA YA UCHAGUZI, WANANCHI WENGI HAWAJAAMUA NANI AWE RAIS
WATANZANIA WENGI HAWARIDHIKI NA UTENDAJI WA WABUNGE NA HAWATAWACHAGUA TENA 12 Novemba 2014, Dar es Salaam: Mwananchi mmoja kati ya watatu (33%) Tanzania Bara hajui ni nani atayekuwa chaguo lake la Rais kwenye uchaguzi mkuu ujao. Hakuna mgombea hata mmoja anayependwa na wapiga kura kwa zaidi ya 15%. Kwa mujibu wa takwimu zilizokusanywa na Twaweza mwezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani