Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA KIFO

UKOO WA MWEMA NA NKYA UNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA/DADA YAO MPENDWA BI SOPHIA RAJAB NKYA KILICHOTOKEA JANA 3/10/2014 SAA 2.45 USIKU  KATIKA HOSPITALI YA KCMC MOSHI.MAZISHI YATAFANYIKA LEO TAREHE 4/10/2014 SAA KUMI ALASIRI KATIKA MAKABURI YA MOSHI MJINI.HABARI  ZIWAFIKIE NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI WALIOPO NDANI NA NJE YA NCHI.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TAARIFA YA KIFO KUTOKA YANGA SC

Marehemu Maulid Kiula enzi za uhai wake. Uongozi wa klabu ya Young Africans unasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Dereva wa Basi Kubwa la Wachezaji (Yutong) Bw Maulid Kiula kilichotokea alfajiri ya leo Ilala jijini Dar es salaam. Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwa marehemu mtaa wa Chunya karibu na Bungoni Ilala jijini Dar es salaam.
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi… ...

 

9 years ago

GPL

TAARIFA YA POLISI KUHUSU KIFO CHA MCHUNGAJI MTIKILA

Marehemu Christopher Mtikila enzi za uhai wake. Mnamo tarehe 04/10/2015 majira ya saa 05:45hrs huko Msolwa Kata ya Bwilingu barabara kuu ya Dar es Salaam – Morogoro, Wilaya ya Ki-Polisi Chalinze, Mkoa wa Pwani. Gari No. T.189 AGM aina ya Toyota Corolla likiendeshwa na George Steven Ponera miaka 31, mkazi wa Mbezi Mwisho Dar es Salaam liliacha barabara kisha kupinduka na kusababisha kifo cha Christopher Mtikila miaka 62,...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KIFO/MSIBA WA BABA MZAZI WA BEATRICE SINGANO

MAREHEMU MZEE WETU MOURICE NOEL SINGANO
MDAU WETU BEATRICE SINGANO  WA VAIRTEL AMEONDOKEWA/AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI MPENDWA  MZEE MOURICE NOEL SINGANO, 
MZEE WETU  M.N. SINGANO ALIFARIKI JANA TAREHE 31/05/2014. NCHINI  INDIA - CHENNAI , MIPANGO YA MZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MTOTO WAKE MIKOCHENI B, DAR ES SALAAM.
KUFUATIA MSIBA HUO KUTAKUWA NA MISA MAALUM YA SIKU YA ALHAMISI KANISA LA MT. MARTHA MIKOCHENI DAR ES SALAAM.
MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA SIKU YA IJUMAA TAREHE 6/6/2014...

 

11 years ago

GPL

MZEE SMALL YUPO HAI, TAARIFA ZA KIFO CHAKE NI UZUSHI

KUNA taarifa zilizagaa kuwa msanii mkongwe wa vichekesho na maigizo nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ amefariki dunia. Taarifa hizo ni za uongo na uzushi maana mwandishi wetu ameongea na mke wa Mzee Small pamoja na Mzee Small mwenyewe ambaye ni mzima kabisa!  Mke wa Mzee Small anadai usiku kucha hajalala maana alikuwa anapokea meseji za pole kutoka kwa watu mbalimbali kuhusu taarifa hizo za uzushi. Mzee Small...

 

10 years ago

Vijimambo

Kifo Cha Msanii AK47 Taarifa Mpya Za Kushtusha Zatolewa


Ujumbe ulikuwa ukitaka Maggie amuonye mume wake AK47 aache kumfuatilia girlfriend wake anayeishi nchini Uganda anayejulikana kama Vivian Bahati.Taarifa za Redpepper Uganda, Polisi wanaendelea kuchunguza taarifa hizo mpya, kuna Mganda ambae anaishi nchi za Scandinavia ambae anadhaniwa alikodi kikundi cha watu ambao walisababisha kifo cha AK47 kutokana na mwanamke huyo.Polis walimpigia Maggie mke wa marehemu AK47 afike katika kituo cha Polisi cha Kabalagala kwa ajili ya kupata upande...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mama Maria Nyerere ni mzima wa afya, taarifa za kifo zipuuzwe

DSC08596

Wasomaji wa Mo dewji blog mnaoendelea kuperuzi mtandao huu ni kwamba taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii (Sio Mo dewji blog) zinazomuhusisha Mama Maria Nyerere. ‘SI ZA KWELI NA ZIPUUZWE’.

Awali habari mbalimbali juu ya kuenezwa kwa uvumi wa kifo kwa Mama  Maria zilianza kusambaa hata kuzifikia chumba cha Habari cha Mo dewji, ambapo tumejiridhisha na kwa mujibu wa watu waliongea na familia ya Mama Nyerere, akiwemo Mtoto wake Madaraka Nyerere,  alibainisha kuwa...

 

9 years ago

Michuzi

TANZIA: Taarifa ya kifo cha mama Betisheba Ketangenyi, Maryland, Marekani

Bettisheba Pole Ketang'enyi Bettisheba Pole Ketang'enyi enzi ya uhai wakeTunasikitika kutangaza kifo cha mama Betisheba Ketangenyi, mama yake Yvonne Matinyi, Felicia Simms, Fredderek Ketangenyi pia ni Dada yake na Rossie Musika, Neema Musika, Daudi Musika na Sijaona Musika, kilichotekea tarehe Septemba 30, 2015 katika hospitali ya NIH Maryland, Marekani.

Mipango ya kusafiri mwili wa marehemu inaendelea kwa mdogo wa marehemu Daudi Musika wa 3819 Gateway terrace Burtonsville MD 20866.
Unaweza kuwasiliana na:
Frederick...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KIFO CHA BALOZI WA MALAWI NCHINI TANZANIA,HAYATI FLOSSIE GOMILE

Serikali imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Balozi wa Malawi hapa nchini Hayati Mhe. Flossie Gomile Chidyaonga kilichotokea juzi Ijumaa tarehe 09 Mei, 2014. Balozi Chidyaonga alifariki akiwa njiani kupelekwa hospitali ya Aga Khan ya hapa Dar es Salaam.
Balozi Flossie Chidyaonga alizaliwa tarehe 16 Juni, 1960 huko Blantyre nchini Malawi. Balozi Chidyaonga aliitumikia Serikali ya Malawi katika nyadhifa mbalimbali. Kati ya mwaka 2006 hadi 2010 alikuwa Naibu Balozi wa Malawi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani