Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga, Azam ni kifo

YANGA leo inaikaribisha Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaoamua nani akalie kiti cha uongozi wa ligi hiyo inayoshirikisha jumla ya timu 16.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Ni Yanga na Azam

MBIO za kukalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, sasa zimebaki kuwa za timu mbili za Yanga na Azam FC, ambao wamekuwa wakibadilishana katika nafasi ya kwanza na pili.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga wanusurika kifo Mikese

Wachezaji na viongozi wa Yanga SC wamenusurika kifo baada ya basi lao kuacha njia na kutumbukia mtaroni eneo la Mikese majira ya saa 3:30 asubuhi wakati wakitoka Morogoro kuelekea Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

TAARIFA YA KIFO KUTOKA YANGA SC

Marehemu Maulid Kiula enzi za uhai wake. Uongozi wa klabu ya Young Africans unasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Dereva wa Basi Kubwa la Wachezaji (Yutong) Bw Maulid Kiula kilichotokea alfajiri ya leo Ilala jijini Dar es salaam. Taratibu za mazishi zinaendelea nyumbani kwa marehemu mtaa wa Chunya karibu na Bungoni Ilala jijini Dar es salaam.
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi… ...

 

11 years ago

GPL

Twite: Kifo kimenibakiza Yanga

Beki wa kimataifa wa Yanga, Mbuyu Twite. Na Wilbert Molandi
BEKI kiraka wa Yanga, Mbuyu Twite, ametaja sababu moja ya yeye kusitisha mpango wake wa kusaini Azam FC na kuongeza mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea Jangwani. Awali mshambuliaji huyo alitajwa kuwepo katika orodha ya wachezaji ambao wangesaini kuichezea Azam FC baada ya timu hiyo kumnasa mshambuliaji Mrundi, Didier Kavumbagu na kiungo Frank Domayo, kufuatia...

 

9 years ago

Habarileo

Simba, Yanga ni kifo leo

ILIKUWA miezi, mwezi, wiki, siku na sasa ni saa kabla ya vigogo vya soka Tanzania Bara vya Simba na Yanga kuchuana katika moja ya mechi za Ligi Kuu kwenye mchezo utakaofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga waikataa Azam Tv

Wanachama wa Yanga wameikataa Azam Tv kurusha mechi zao na kuwataka viongozi wao kuipeleka mahakamani kama itakaidi na kuendelea kurusha mechi za Yanga bila idhini ya klabu hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kumekucha Yanga, Azam

>Fainali ya Kombe la Kagame imekuja mapema, hicho ndicho unachoweza kusema baada ya wawakilishi wa Tanzania Bara, Yanga na Azam kukutana katika mchezo wa robo fainali itakayopigwa Jumatano kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga, Azam ni vita

MIAMBA ya Ligi Kuu Bara, Yanga na Azam leo itashuka kwenye Uwanja wa Amaan mjini hapa kumenyana katika mechi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. Mechi hiyo inatarajiwa kuwa ya vuta nikuvite huku kila timu ikitaka kuonesha ubabe kwa mwenzie baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 katika mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu bara mwaka jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani