Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Okwi aongeza mkataba wa mwaka mmoja Simba

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi(kulia) akisaini mkataba.
Na Mwandishi Wetu
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi, ameongezewa mkataba mwingine wa mwaka mmoja wa kuichezea timu hiyo. Mganda huyo ameongezewa mkataba huo wakati ule wa awali ukitarajiwa kumalizika mapema Januari, mwakani. Alitua Msimbazi kwa utata akitokea Yanga. Simba tayari imewasajili wachezaji watatu wa kimataifa kutoka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Gerefa yaingia mkataba wa mwaka mmoja na kocha Suleiman Matola.

 

Hatimaye Chama Cha Mpira Mkoa wa Geita Gerefa kimeingia mkataba na Suleiman Matola kuwa kocha Mkuu wa Timu hiyo kwa lengo la kuhakikisha anainoa ipasavyo kwa lengo la kuhakikisha inapanda daraja ambapo kwa sasa timu ya Geita Gold Sports ipo katika ligi  daraja la Kwanza Tanzania Bara.

Mwenyekiti wa Chamacha Gerefa Salum Kulunge amesema kocha Matola kwa uwezo alionao wa ufundishaji na mafanikia aliyonayo katika kuinua mchezo wa soka huku akiwaana leseni kubwa ya ufundishaji wa soka hapa...

 

11 years ago

Bongo5

Didier Drogba arejea Chelsea FC kwa mkataba wa mwaka mmoja

Club ya Chelsea FC imetangaza kuwa imemrudisha kundini mshambuliaji Didier Drogba. Drogba ambaye alikiacha kikosi hicho mwaka 2012, amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea timu hiyo. Baada ya kusaini mkataba mpya Drogba alisema: “Ulikuwa ni uamuzi rahisi- Sikuweza kukataa fursa ya kufanya kazi tena na Jose. Kila mmoja anafahamu uhusiano wa kipekee nilionao na […]

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yasaini mkataba wa mwaka mmoja na Stand United FC

 Mkuu wa matawi wa Benki ya Exim Kanda ya Ziwa, Bw. Justus Mukurasi (wapili kushoto) akibadilishana mkataba na Mwenyekiti wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Stand United, Bw. Amani Vicent (wapili kulia) wakati wa hafla fupi iliyofanyika mkoani Shinyanga jana. Mkataba huo utaiwezesha benki kuidhamini timu hiyo katika ligi kuu ya mpira wa miguu ya Vodacom (VPL) katika msimu wa 2014/2015. Wakishuhudia wa kwanza kushoto ni Meneja Msaidizi Tawi la Shinyanga, Bw. Hatunga Nicodemus na Katibu wa ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Drogba arudisha majeshi klabu ya Chelsea kwa mkataba wa mwaka mmoja!

Didier-Drogba-Chelsea

Mshambuliaji wa Ivory Coast Didier Drogba amesaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga tena na Chelsea.

Drogba, 36, alishinda makombe 10 akiwa na Chelsea kuanzia mwaka 2004 hadi 2012, baada ya kuifungia timu hiyo mabao 157 katika mechi 341 na alikuwa mchezaji huru baada ya kuondoka klabu ya Galatasaray ya Uturuki.

Meneja Jose Mourinho, mapema alisema Stamford Bridge ni kama “kwake” mchezaji huyo.

Drogba ameiambia tovuti ya Chelsea kuwa: “Ulikuwa uamuzi rahisi- sikuweza kukataa nafasi ya kufanya...

 

11 years ago

GPL

Kisiga alamba mwaka mmoja Simba

Straika wa zamani wa Simba, Shabani Kisiga. Na Ibrahim Mussa
IMEBAINIKA kuwa, Simba imempa mkataba wa mwaka mmoja straika wao wa zamani, Shabani Kisiga.
Chanzo kutoka ndani ya Simba kimeliambia Championi Jumatatu kuwa, mchezaji huyo kwa asilimia 99 tayari ameshasajiliwa na klabu hiyo lakini kinachosubiriwa sasa ni Kamati ya Usajili ya Simba kumalizana naye na hatimaye kutambulishwa. Tayari ameshaanza kujifua na timu hiyo...

 

11 years ago

GPL

TWITE AONGEZA MKATABA YANGA

Mlinzi kiraka wa timu ya Young Africans Mbuyu Junior Twite. Mlinzi kiraka wa timu ya Young Africans Mbuyu Junior Twite leo ameongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga baada ya kufikia makubaliano na uongozi na kupata majibu ya Shirikisho la Soka nchini TFF juu ya idadi ya wachezaji wa kimataifa kwa msimu ujao 2014/2015. Usajili wa Twite umefanyika leo makao makuu ya klabu ya Yanga chini ya Katibu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Steve Hanse aongeza mkataba

Kocha Steve Hansen wa timu ya Rugby ya New Zealand amesaini kandarasi mpya itayomuweka mpaka mwaka 2017.

 

10 years ago

Habarileo

Wawa aongeza mkataba Azam

BEKI wa kati wa Azam FC kutoka Ivory Coast, Serge Wawa ameingia mkataba mpya na klabu yake ambao utadumu 2016/17.

 

10 years ago

GPL

WIZKID AONGEZA MKATABA NA KAMPUNI YA VINYWAJI

Nyota wa muziki nchini Nigeria, Wizkid. NYOTA wa muziki nchini Nigeria, Wizkid, mambo yanazidi kumonyookea baada ya kuzindua albamu yake na kupata fursa za kuonyesha shoo katika miji mbalimbali duniani. Wizkid akisaini mkataba huo.
Mbali na kusaini mkataba na kampuni la mawasiliano la Nigeria, hivi majuzi amesaini mkataba na kampuni la vinywaji nchini humo baada ya mkataba wa miaka mitatu kumalizika ambapo amesaini mkataba wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani