Didier Drogba arejea Chelsea FC kwa mkataba wa mwaka mmoja
Club ya Chelsea FC imetangaza kuwa imemrudisha kundini mshambuliaji Didier Drogba. Drogba ambaye alikiacha kikosi hicho mwaka 2012, amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea timu hiyo. Baada ya kusaini mkataba mpya Drogba alisema: “Ulikuwa ni uamuzi rahisi- Sikuweza kukataa fursa ya kufanya kazi tena na Jose. Kila mmoja anafahamu uhusiano wa kipekee nilionao na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mrjGDDFzeeFqWbUHE*do-ujR2dvql-QcaTmAP-VsYLZUsPNCyttDd-chbw43DMyY8sC7EaQdYtK6aaZ*JWiLdVejKpym-Zaj/drogba.jpg)
DIDIER DROGBA AREJEA CHELSEA, ASAINI MWAKA MMOJA
11 years ago
Dewji Blog26 Jul
Drogba arudisha majeshi klabu ya Chelsea kwa mkataba wa mwaka mmoja!
Mshambuliaji wa Ivory Coast Didier Drogba amesaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga tena na Chelsea.
Drogba, 36, alishinda makombe 10 akiwa na Chelsea kuanzia mwaka 2004 hadi 2012, baada ya kuifungia timu hiyo mabao 157 katika mechi 341 na alikuwa mchezaji huru baada ya kuondoka klabu ya Galatasaray ya Uturuki.
Meneja Jose Mourinho, mapema alisema Stamford Bridge ni kama “kwake” mchezaji huyo.
Drogba ameiambia tovuti ya Chelsea kuwa: “Ulikuwa uamuzi rahisi- sikuweza kukataa nafasi ya kufanya...
11 years ago
BBCSwahili08 Aug
Didier Drogba astaafu soka ya kimataifa
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Ndoto ya Didier Drogba nchini Brazil
11 years ago
Bongo508 Aug
Didier Drogba astaafu kucheza soka la kimataifa
10 years ago
Vijimambo28 Jul
DIDIER DROGBA AJIUNGA NA KLABU YA MONTREAL IMPACT YA CANADA
![do](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/07/do.jpg)
9 years ago
Bongo512 Nov
Video: Didier Drogba na wenzake wakicheza ‘Selfie’ ya Koffi Olomide
![didier-drogba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/didier-drogba-300x194.jpg)
Wimbo wa msanii mkongwe DR Congo, Koffi Olomide, Selfie unazidi kushika umaarufu kila kukicha na kupendwa na watu wa rika tofauti tofauti duniani.
Didier Drogba ambaye ni mshambuliaji wa klabu ya Montreal Impact ya nchini Canada, ni miongoni mwa watu waliovutiwa na wimbo huo.
Drogba na wenzake walionekana wakicheza wimbo huo katika vyumba vya kubadilishia nguo vya klabu ya Montreal baada ya kumalizika kwa mechi ya ligi ya Marekani ‘MLS’
Wimbo huo upo kwenye albamu mpya ya Koffi Olomide,...
11 years ago
Bongo506 Aug
Rihanna anataka kununua club kubwa ya UK, amuomba ushauri Didier Drogba
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7Lsc6kX6WlTK8au9fIc1f7x5KZBLq5ZgnOWyaEpK1S719Y9HzTeaXVG*s3VyDyDZ1mIfVzMxhBHSoSAUoL1i3HyL/KWIO.jpg)
Okwi aongeza mkataba wa mwaka mmoja Simba