Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIDIER DROGBA AJIUNGA NA KLABU YA MONTREAL IMPACT YA CANADA

doBaada ya kumaliza mkataba wake na Chelsea, mshambuliaji wa Ivory Coast, Didier Drogba amesaini mkataba wa miezi 18 wenye thamani ya dola milioni tatu kwa mwaka na klabu ya Montreal Impact inayoshiriki ligi kuu ya Marekani na Canada, Major League Soccer.Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 37 aliondoka Stamford Bridge baada ya kuichezea timu hiyo mechi 381 na kushinda makombe manne ya Premier League.Rais wa klabu hiyo yenye makazi yake nchini Canada, Joey Saputo alisema kumchukua mshambuliaji...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Drogba asaini Montreal Impact

Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba amekamilisha usajili wake kwenye klabu ya Ligi Kuu ya Marekani (MLS), Montreal Impact ya Canada.

 

9 years ago

BBC

Chelsea in Drogba talks with Montreal

Montreal Impact striker Didier Drogba has expressed a "desire to help" former club Chelsea, say the Canadian MLS team.

 

10 years ago

BBC

Drogba joins MLS side Montreal

Ivorian striker Didier Drogba signs for Major League Soccer side Montreal Impact after leaving Chelsea this summer.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ndoto ya Didier Drogba nchini Brazil

Ivory Coast ina kibarua dhidi ya Ugiriki kutaka kunyakua nafasi katika timu bora 16. Drogba anasimulia ndoto yake

 

11 years ago

BBCSwahili

Didier Drogba astaafu soka ya kimataifa

Mchezaji soka maarufu wa Ivory Coast Didier Drogba, ametangaza kustaafu soka ya kimataifa.

 

11 years ago

Bongo5

Didier Drogba astaafu kucheza soka la kimataifa

Mshambuliaji wa Chelsea, Didier Drogba leo (Agosti 8) ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa na timu yake ya Ivory Coast, lakini ataendelea kuichezea timu yake ya Chelsea. Drogba mwenye miaka 36, aliichezea timu yake ya taifa michezo 104 na kufanikiwa kufunga magoli 60. “Kwa masikitiko makubwa nimechukua uamuzi kwa kustaafu soka la kimataifa” Drogba aliandika […]

 

11 years ago

GPL

DIDIER DROGBA AREJEA CHELSEA, ASAINI MWAKA MMOJA

Drogba baada ya kurejea kundini. Didier Drogba wakati akifanyiwa vipimo (kushoto). Kulia akisaini mkataba wa mwaka mmoja Chelsea.…

 

11 years ago

Bongo5

Didier Drogba arejea Chelsea FC kwa mkataba wa mwaka mmoja

Club ya Chelsea FC imetangaza kuwa imemrudisha kundini mshambuliaji Didier Drogba. Drogba ambaye alikiacha kikosi hicho mwaka 2012, amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea timu hiyo. Baada ya kusaini mkataba mpya Drogba alisema: “Ulikuwa ni uamuzi rahisi- Sikuweza kukataa fursa ya kufanya kazi tena na Jose. Kila mmoja anafahamu uhusiano wa kipekee nilionao na […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Didier Drogba na wenzake wakicheza ‘Selfie’ ya Koffi Olomide

didier-drogba

Wimbo wa msanii mkongwe DR Congo, Koffi Olomide, Selfie unazidi kushika umaarufu kila kukicha na kupendwa na watu wa rika tofauti tofauti duniani.

Didier Drogba ambaye ni mshambuliaji wa klabu ya Montreal Impact ya nchini Canada, ni miongoni mwa watu waliovutiwa na wimbo huo.

Drogba na wenzake walionekana wakicheza wimbo huo katika vyumba vya kubadilishia nguo vya klabu ya Montreal baada ya kumalizika kwa mechi ya ligi ya Marekani ‘MLS’

Wimbo huo upo kwenye albamu mpya ya Koffi Olomide,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani