Mh Sitta apewa cheo cha Mwizukulu mkulu wa Unyanyembe!
Mtemi wa Unyanyembe Msagata Ngulati Fundikira akimtambikia Mh Samuel Sitta ambaye ni binamu yake.
Mtemi wa Unyanyembe Msagata Ngulati Fundikira leo hii asubuhi alimpa cheo cha Mwizukulu mkulu Mh Samuel Sitta katika kutambua safari yake ya kukiomba chama chake cha CCM kimpe ridhaa ya kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao.Mh Samuel Sitta akiwa na mkewe Mh Magreth Sitta wakisubiri kutambikiwa.
Mtemi wa Unyanyembe Msgata Fundikira akisisitiza jambo katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Twite apewa cheo kipya Yanga
Kiungo wa Yanga Mbuyu Twite.
Hans Mloli,Dar es Salaam
UONGOZI wa benchi la ufundi la Yanga umempa cheo cha unahodha, kiungo wa timu hiyo Mbuyu Twite baada ya Haruna Niyonzima kutemwa klabuni hapo.
Awali kabla ya Niyonzima ambaye pia ni nahodha wa timu ya taifa ya Rwanda kupewa wadhifa huo cheo hicho kilikuwa mikononi mwa Twite, hivyo hii ni mara ya pili kwa kiraka huyo kuchukua nafasi hiyo.
Twite anatazamiwa kutumia nafasi hiyo kuiongoza Yanga kwenye michezo yote ya Kombe la Mapinduzi na ile...
9 years ago
Raia Mwema07 Nov
Waziri Mkuu ni cheo cha lawama
RAIS mteule wa Awamu ta Tano, Dk John Magufuli anatarajiwa kuapishwa, na kisha kuunda Baraza lake
Maggid Mjengwa
11 years ago
BBCSwahili27 Jan
Al-Sisi apata cheo cha juu jeshini
10 years ago
Dewji Blog03 Sep
Mhe. Sitta apewa pongezi kwa kuliendesha Bunge Maalum la Katiba kwa utulivu na amani
Sheikh Hemed Jalala akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (hayupo pichani) wakati alipotembelea Bunge Maalum leo 03 Septemba, 2014 kwa ajili ya kumpongeza kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya.
Na Magreth Kinabo, Dodoma.
BAADHI ya viongozi wa dini wamempongeza Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta kwa kitendo chake cha kuliendesha Bunge hilo vizuri katika hali ya utulivu na amani.
Kauli hiyo imetolewa leo na Sheikh Hemed Jalala kutoka Msikiti wa Ghadiir...
10 years ago
MichuziKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AMPANDISHA CHEO CHA SAJIN WA MAGEREZA ASKARI WA KIKE, MWANARIADHA WA KIMATAIFA JIJINI DAR
11 years ago
MichuziSITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI CHA BUNGE MAALUM LEO
10 years ago
VijimamboKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA JOHN MINJA AMPANDISHA CHEO CHA SAJIN WA MAGEREZA ASKARI WA KIKE, MWANARIADHA WA KIMATAIFA JIJINI DAR
10 years ago
Mwananchi29 Sep
Okwi apewa kibali cha muda
9 years ago
BBCSwahili30 Oct
Magufuli apewa cheti cha ushindi Tanzania