Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Okwi apewa kibali cha muda

>Hatimaye mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi amepata kibali cha muda cha kufanya kazi nchini ambacho kitamwezesha kuichezea klabu ya Simba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Basata yaipa kibali cha muda Miss Tanzania

miss-tzJULIET MORI NA LETICIA BWIRE (TUDARCO)

MASHINDANO ya urembo ya Miss Tanzania yaliyofungiwa kwa muda wa miaka miwili yamepata ahueni baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kuipa kibali cha muda kampuni inayoendesha shindano hilo, International Agency Limited (LINO).

Basata imetoa kibali hicho cha muda kisichozidi miezi minne kwa ajili ya maandalizi ya awali, ikiwemo kukamilisha usajili wa mawakala katika ngazi zote husika ili kuboresha na kurudisha heshima ya shindano la Miss...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kibali cha Jaja chawatesa Yanga

KLABU ya Yanga kwa sasa inajikuta katika wakati mgumu kwani zikisalia siku 20 kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania bara, Hati ya Uhamisho wa kimataifa (ITC) wa nyota wake...

 

5 years ago

Michuzi

DC KASESELA: MARUFUKU SHEREHE ZA HARUSI BILA KIBALI CHA DMO

Mkuu wa wilaya ya iringa Richard Kasesela akitoa maagizo kwa wadau wa sekta ya afya juu ya kujilinda na maambukizi ya virusi vya CoronaMkurugenzi wa  kiwanda cha uzalishaji wa maziwa kampuni ya Asas mkoani Iringa Ahmed Asas na wadau wengine wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akitoa maagizo juu ya virusi vya Corona.
Na Frendy Mgunda IringaSERIKALI ya wilaya ya Iringa imepiga marufuku sherehe zote harusi ambazo hazina kibali maalumu kutoka kwa Mganga mkuu wa wilaya (DMO)...

 

10 years ago

Michuzi

OKWI AREJEA SIMBA SC KUCHEZA KWA MUDA KULINDA KIPAJI CHAKE WAKATI KESI YAKE NA YANGA IKIENDELEA


Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAMSTAILI ile ile waliyotumia Yanga SC kumpata mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi ndiyo ambayo klabu yake ya zamani, Simba SC inaitumia kumrejesha kundini Mganda huyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jioni hii mjini Dar es Salaam, Okwi amesema kwamba amesaini Simba SC mkataba huru wa muda, baada ya Yanga SC kumpa barua ya kusitisha mkataba naye jana pamoja na kumshitaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).


Okwi amesema ameamua kuomba kuichezea Simba SC kipindi...

 

10 years ago

Michuzi

SITA MBARONI KWA KUMILIKI SILAHA KINYUME CHA SHERIA, KULIMA BHANGI NA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI MKOANI DODOMA

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu sita (6) kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya kumiliki silaha kinyume cha sheria, kulima na kukutwa na bhangi pamoja na kuingia nchini bila kibali, kufuatia operesheni inayoendelea Mkoani Dodoma kusaka watuwanaojihusisha na uhalifu wa aina mbalimbali.
Akithibitisha matukio hayo kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME - SACP amewataja watu wanaoshikiliwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli apewa cheti cha ushindi Tanzania

Mgombea urais kupitia chama cha CCM John Mafuguli amepewa cheti cha ushindi baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumapili.

 

9 years ago

Habarileo

Yametimia: Magufuli apewa cheti cha urais

RAIS mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli na Makamu wa Rais mteule, Samia Suluhu Hassan, wamekabidhiwa kwa mujibu wa sheria hati za kuchaguliwa kuwa Rais na Makamu wa Rais.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani