Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yametimia: Magufuli apewa cheti cha urais

RAIS mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli na Makamu wa Rais mteule, Samia Suluhu Hassan, wamekabidhiwa kwa mujibu wa sheria hati za kuchaguliwa kuwa Rais na Makamu wa Rais.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Magufuli apewa cheti cha ushindi Tanzania

Mgombea urais kupitia chama cha CCM John Mafuguli amepewa cheti cha ushindi baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumapili.

 

10 years ago

Vijimambo

DK. JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHIWA CHETI CHA USHINDI WA URAIS WA TANZANIA AWAMU YA TANO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva (kulia), akimkabidhi cheti cha Urais Rais Mteule wa Tanzania Dk.John Magufuli katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam leo. Kushoto ni Makamu wa Rais Mteule, Samia Hassan Suluhu. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva (kulia), akimkabidhi cheti cha Makamu wa Rais, Samia Hassan Suluhu katika hafla hiyo.
 Rais Mteule wa Tanzania, Dk. John Magufuli (kulia),...

 

10 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUKABIDHI CHETI CHA MSHINDI WA URAIS 2015

Kutangazwa rasmi mshindi wa urais 2015 kutokaa ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar Es Salaam;    Washiriki wa mbio za urais wa vyama vya siasa pamoja na viongozi mbalimbali katika hafla za kutangazwa mshindi wa urais 2015; Hafla MKurugenzi wa NEC Ramadhan Kailima akitoa tathmini ya mchakato  wa uchaguzi mkuu mwaka  2015;https://youtu.be/Lg8d2m1YwgE STAR TV: Mwenyekiti wa NEC Jaji Damian Lubuva akitoa taarifa za matokeo ya uchaguzi 2015 katika hafla ya kutangazwa mshindi wa urais...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli akabidhiwa cheti cha ushindi

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amemkabidhi cheti cha ushindi wa urais Dk John Magufuli wa Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

GPL

RAIS MTEULE JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHIWA CHETI CHA USHINDI

Rais mteule wa Tanzania John Pombe Magufuli akionesha cheti chake cha ushindi alichokabidhiwa. John Pombe Magufuli akiwa na mgombea mwenza wa CCM Samia Hassan Suluhu kabla ya kukabidhiwa cheti cha ushindi.

 

10 years ago

CCM Blog

RAIS MTEULE WA TANZANIA DK. JOHN MAGUFULI AKABIDHIWA CHETI CHAKE CHA USHINDI LEO

 Rais Mteule wa awamu ya tano, Dk. John Magufuli akiyonyesha hati ya ushindi wa Urais, baada ya kukabidhiwa leo na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva, katika hafla ya kukabidhi hati hiyo iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Dk. Magufuli amekabidhiwa cheti hicho kufuatia kuibuka mshindi wa kiti cha Urais katika matokeo yaliyotangazwa na NEC, jana, ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu. Kushoto ni Makamu wa...

 

10 years ago

GPL

RAIS MTEULE WA TANZANIA JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHIWA CHETI CHAKE CHA USHINDI

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mh. Jaji (Mstaafu) Damian Zefrin Lubuva (kulia) akimkabidhi cheti chake cha ushindi Rais Mteule wa Tanzania, John Pombe Magufuli (katikati) huku mgombea mwenza wake Samia Hassan Suluhu akiwa nyuma yake katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar leo asubuhi. Mgombea mwenza Samia Hassan Suluhu akipokea cheti chake cha ushindi toka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani