DC KASESELA: MARUFUKU SHEREHE ZA HARUSI BILA KIBALI CHA DMO
Mkuu wa wilaya ya iringa Richard Kasesela akitoa maagizo kwa wadau wa sekta ya afya juu ya kujilinda na maambukizi ya virusi vya CoronaMkurugenzi wa kiwanda cha uzalishaji wa maziwa kampuni ya Asas mkoani Iringa Ahmed Asas na wadau wengine wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akitoa maagizo juu ya virusi vya Corona.
Na Frendy Mgunda IringaSERIKALI ya wilaya ya Iringa imepiga marufuku sherehe zote harusi ambazo hazina kibali maalumu kutoka kwa Mganga mkuu wa wilaya (DMO)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSITA MBARONI KWA KUMILIKI SILAHA KINYUME CHA SHERIA, KULIMA BHANGI NA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI MKOANI DODOMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu sita (6) kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya kumiliki silaha kinyume cha sheria, kulima na kukutwa na bhangi pamoja na kuingia nchini bila kibali, kufuatia operesheni inayoendelea Mkoani Dodoma kusaka watuwanaojihusisha na uhalifu wa aina mbalimbali.
Akithibitisha matukio hayo kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME - SACP amewataja watu wanaoshikiliwa...
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)
Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]
The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Yona: Dhahabu ilikaguliwa ‘bila kibali’
9 years ago
Mwananchi08 Nov
Daktari akamatwa na dawa bila kibali
5 years ago
MichuziALIYECHAPISHA MAUDHUI MTANDAONI BILA KIBALI AHUKUMIWA
Hukumu hiyo imesomwa leo Juni 3, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Janet Mtega wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya mshtakiwa kuingia makubaliano na DPP na kukiri kosa lake hilo ambapo ametakiwa pia kulipa fidia ya sh. Milioni mbili.
Akisoma hukumu hiyo,...
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Nduguye Messi amiliki 'bunduki bila kibali'
5 years ago
MichuziWAWILI WASHIKILIWA NA POLISI KWA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha linawashikilia Waandishi wawili raia wa nchi jirani ya Kenya kwa kosa la kuingia nchini bila kibali
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Jonathan Shana amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Clinton Isimbu( 22)kabila Mluya,mpiga picha wa Elimu Tv ya Kenya,mwingine ni Kaleria Shadrack(23)kabila mmeru ambaye pia ni mwandishi wa habari Elimu Tv ya nchini Kenya.
Kamanda Shana amesema watuhumiwa hao waliingia nchini kwa njia ya Panya,ambapo kwa Sasa wote...
10 years ago
MichuziRAIA WANNE (4) WA ETHIOPIA MBARONI KWA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikila watu wanne (4) raia wa Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini bila kuwa na kibali
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema watu hao wamekamatwa tarehe 26/01/2015 majira ya 15:55hrs katika eneo la Nala kwenye Mzani wa Magari (Weight Bridge) Kata ya Nala Tarafa ya Zuzu Manispaa ya Dodoma wakiwa kwenye basi la Prince Munaa lenye namba za usajili T....
9 years ago
GPLUCHAGUZI MKUU 2015: MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) YAKATAZA KURUSHA CHOPA BILA KIBALI