Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Daktari akamatwa na dawa bila kibali

Jeshi la polisi mkoani Pwani linamshikilia Mganga Mfawidhi Ramadhan Mtambo wa zahanati ya kijiji cha Mkongo Kaskazini kilichopo Wilayani hapa kwa tuhuma za kupatikana na dawa za binadamu bila kibali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Yona: Dhahabu ilikaguliwa ‘bila kibali’

Waziri wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini, Daniel Yona amekiri katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa mchakato wa kumpata mkaguzi wa madini ya dhahabu nchini ulianza bila ya kuwapo kwa kibali cha maandishi cha rais.

 

9 years ago

BBCSwahili

Nduguye Messi amiliki 'bunduki bila kibali'

Kakaake mkubwa nyota wa timu ya Argentina na Barcelona Lionel Messi amekamatwa kwa kumiliki bunduki bila kibali.

 

5 years ago

Michuzi

ALIYECHAPISHA MAUDHUI MTANDAONI BILA KIBALI AHUKUMIWA

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV.MFANYABIASHARA Obadia Kwitega, amehukumiwa kulipa faini ya shilingi Milioni tano ama kutumikia kifungo cha mwaka mmoja gerezani baada ya kukiri kosa la kuchapisha maudhui mtandaoni bila ya kuwa na kibali.
Hukumu hiyo imesomwa leo Juni 3, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Janet  Mtega wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya mshtakiwa kuingia makubaliano na DPP na kukiri kosa lake hilo ambapo ametakiwa pia kulipa fidia ya sh. Milioni mbili.
Akisoma hukumu hiyo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Daktari feki akamatwa Moro

JESHI la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia Karume Kanzu (22), kwa tuhuma za kujifanya daktari wa hospitali kuu mkoani hapa na kuhudumia wagonjwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Daktari aliyesababisha vifo akamatwa

Daktari aliyesababisha vifo vya Wanawake nchini India anashikiliwa na Polisi

 

10 years ago

BBCSwahili

Daktari feki akamatwa Tanzania

Uongozi wa taasisi ya MOI katika hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam umemkamata mtu anayetuhumiwa kuwa daktari bandia Jumatatu.

 

5 years ago

Michuzi

DC KASESELA: MARUFUKU SHEREHE ZA HARUSI BILA KIBALI CHA DMO

Mkuu wa wilaya ya iringa Richard Kasesela akitoa maagizo kwa wadau wa sekta ya afya juu ya kujilinda na maambukizi ya virusi vya CoronaMkurugenzi wa  kiwanda cha uzalishaji wa maziwa kampuni ya Asas mkoani Iringa Ahmed Asas na wadau wengine wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akitoa maagizo juu ya virusi vya Corona.
Na Frendy Mgunda IringaSERIKALI ya wilaya ya Iringa imepiga marufuku sherehe zote harusi ambazo hazina kibali maalumu kutoka kwa Mganga mkuu wa wilaya (DMO)...

 

5 years ago

Michuzi

WAWILI WASHIKILIWA NA POLISI KWA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI

Na.Vero Ignatus,Arusha
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha linawashikilia Waandishi  wawili raia wa  nchi jirani ya Kenya kwa kosa la kuingia nchini bila kibali
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Jonathan Shana amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Clinton Isimbu( 22)kabila Mluya,mpiga picha wa Elimu Tv ya Kenya,mwingine ni Kaleria Shadrack(23)kabila mmeru ambaye pia ni mwandishi wa habari Elimu Tv ya nchini Kenya.
Kamanda Shana amesema watuhumiwa hao waliingia nchini kwa njia ya Panya,ambapo kwa Sasa wote...

 

11 years ago

Mwananchi

Daktari feki akamatwa hospitali ya Morogoro

>Kijana Karume Kauzu Habibu (22) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kujifanya Daktari wa Hospitali Kuu mkoani hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani