Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maximo awatetea Coutinho, Jaja

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewatetea nyota wake wawili kutoka Brazil, Andrey Coutinho, Santos Santana ‘Jaja’ kwa kusema ni wachezaji wazuri, na kama mnataka taarifa zao nendeni kwenye mtandao wa You Tube, mtaziona.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Coutinho amfunika Jaja

Kiungo mpya  wa Yanga, Mbrazil Andrey Coutinho amemfunika mwenzake Genilson Santos ‘Jaja’ kwa umahiri wa kupachika mabao katika mazoezi ya timu hiyo yanayoendelea kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

Jaja amvaa Coutinho mazoezini

Mshambuliaji wa Yanga,Genilson Santana Santos ‘Jaja’ Na Goodluck Ngai na Said Ally
WACHEZAJI wa timu ya Yanga, mshambuliaji Genilson Santana Santos ‘Jaja’ na kiungo Andrey Coutinho mwishoni mwa wiki iliyopita walijikuta wakiwa kwenye wakati wa kutoelewana baada ya mmoja kutegea.
Jaja na Coutinho ni wachezaji waliotua kuitumikia Yanga wakitokea nchini Brazil. Katika mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja...

 

10 years ago

Mwananchi

Jaja, Coutinho viwango shaka

Mshambuliaji wa zamani wa Simba na Yanga, Zamoyoni Mogella ameishangaa Yanga kutumia fedha nyingi kusajili wachezaji wa Kibrazili wenye viwango vya kawaida.

 

10 years ago

Mwananchi

Maximo atetea uwezo wa Jaja

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amesisitiza kuwa mshambuliaji Geilson Santana ‘Jaja’ ana umuhimu kwa timu hiyo na kama kuna shabiki ana mashaka asubiri ligi itakapoanza.

 

10 years ago

Mtanzania

Maximo amkingia kifua Jaja

Marcio Maximo

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amemkingia kifua mchezaji wake, Mbrazil Genilson Santos ‘Jaja’ kwa kuwataka mashabiki wasitegemee vitu vingi kutoka kwa wachezaji warefu kwani wana vitu vichache vyenye mafanikio.

Maximo aliyasema hayo juzi baada ya mechi yao ya kirafiki dhidi ya Thika United ya nchini Kenya iliyochezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 lilofungwa na Jaja,...

 

11 years ago

GPL

Jaja, Coutinho waanza maisha Kariakoo

Mshambuliaji wa yanga Andrey Coutinho.
Na Mwandishi Wetu
UONGOZI wa Yanga umekamilisha kila kitu kuhusiana na nyumba watakayoishi washambuliaji wake Jaja na Coutinho raia wa Brazil eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam. Jaja na Coutinho waliuomba uongozi wa Yanga waishi Kariakoo karibu na makao makuu ya klabu yao badala ya kupelekwa kwa ‘wanene’, Masaki au Oysterbay.Habari za uhakika zinasema tayari Yanga...

 

11 years ago

GPL

Jaja, Coutinho wapewa nyumba Uswazi

Mshambuliaji  wa Yanga SC, Geilson Santana ‘Jaja’. Na Mwandishi Wetu
WACHEZAJI wawili wa Yanga, raia wa Brazil, wameushangaza uongozi wa klabu hiyo baada ya kusema wanataka kuishi eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam. Kiungo Andrey Coutinho na mshambuliaji Geilson Santana ‘Jaja’, wameuambia uongozi wa Yanga wasingependa kuishi sehemu ambazo zinajumuisha matajiri au zinazoonekana za...

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo awaongezea ‘sumu’ Jaja, Tegete

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewapa mbinu mpya washambuliaji wake Genilson Santana Jaja na Jeryson Tegete kwa lengo la kuwawezesha nyota hao kutoa mchango unaohitajika kwenye kikosi cha timu hiyo.

 

10 years ago

GPL

Jaja, Coutinho wapewa siri kuiua Simba

Mshambuliaji wa Yanga, Geilson Santana 'Jaja'. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, ameonekana kupania timu yake iwafunge wapinzani wake Simba mabao mengi, baada ya kuonekana akiiongezea mbinu safu yake ya ushambuliaji kwenye mazoezi yake. Hiyo ni baada ya kuiona safu ya ulinzi ya watani wao wa jadi, Simba haipo imara kwenye mechi zake tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara ilizozicheza.Safu… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani