Jaja, Coutinho wapewa siri kuiua Simba
![](http://api.ning.com:80/files/Dy9ynGgwNlSY4wfuKIdtsPs-d*iUYIecvp5G-bkVw4o2XjxXGQ3Vk2Hen85cwOieaFEOv0RgPhqQF9EfCyKtMK8nCmSti2hs/jaja.jpg)
Mshambuliaji wa Yanga, Geilson Santana 'Jaja'. Na Wilbert Molandi KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, ameonekana kupania timu yake iwafunge wapinzani wake Simba mabao mengi, baada ya kuonekana akiiongezea mbinu safu yake ya ushambuliaji kwenye mazoezi yake. Hiyo ni baada ya kuiona safu ya ulinzi ya watani wao wa jadi, Simba haipo imara kwenye mechi zake tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara ilizozicheza.Safu… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0siS8-FppA5xhmXWQp*K2Gce9B27piAx0w8OfmwyUK4Qmix8HdIp0eM0o7yE*c49FQTzvUZTTOB4B514ss5TKah7mHSIVww/1.gif?width=650)
Jaja, Coutinho wapewa nyumba Uswazi
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Coutinho amfunika Jaja
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Maximo awatetea Coutinho, Jaja
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Jaja, Coutinho viwango shaka
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W1m8cWlE8EWGiGEgIvUxmEQSI6hkSTV7KsA23h4YVWMh8byHZRdNKa99v1gAJjGTyny8pfZQkQZjSj5-xEkpM4Y/jaja.jpg)
Jaja amvaa Coutinho mazoezini
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lu8a2-fLGRlzcQ8FvQePU7zf1coBvLX5WivFImEeoRdvC8L16krwx6JJoXZazU6y-c1s6hnMmVKMw8zi4OZISrqct9Ulgkim/jaja.jpg)
Jaja, Coutinho waanza maisha Kariakoo
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Vitu vya Coutinho, Jaja Uwanja wa Taifa kesho
TIMU ya Yanga kesho itashuka katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Thika Utd ya Kenya, ikiwa ni mara ya kwanza...
10 years ago
Vijimambo15 Dec
JAJA, COUTINHO, EMERSON WADHIHIRISHA SI KILA MBRAZIL ANAJUA KUCHEZA MPIRA…KIIZA BADO ‘KIDUME’
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/HMB_6496.jpg)
YANGA SC wamekuwa wateja wa Simba katika mechi mbili za ‘Nani Mtani Jembe’.Desemba 21 mwaka jana walifungwa mabao 3-1 na Mnyama Simba na jana walitandikwa mabao 2-0.Katika mechi ya jana, wachezaji wa kigeni wa Yanga walikuwa Emerson Oliveira, Andrey Coutinho, Kpah Sherman, Mbuyu Twite na Haruna Niyonzima.Hamis Friday Kiiza tayari walishamtoa, lakini cha kuwashauri Yanga ni kufanya kila wawezalo kumbakisha Mganda huyu kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa...
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Simba yajipanga kuiua Mbeya City
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba imeanza kuipigia hesabu Mbeya City wanayotarajia kucheza nayo Oktoba 17 mwaka huu kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, wekundu hao wamedai kuwa ili kuzoa pointi zote tatu wamepanga kufika mapema mkoani humo.
Wachezaji wa Simba ambao hawamo kwenye timu za Taifa, wanatarajia kuanza tena mazoezi leo baada ya mapumziko ya siku mbili, tayari kabisa kujiandaa na mchezo huo muhimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Msimu uliopita Simba iliambulia patupu mbele ya...