Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vitu vya Coutinho, Jaja Uwanja wa Taifa kesho

TIMU ya Yanga kesho itashuka katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Thika Utd ya Kenya, ikiwa ni mara ya kwanza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

YANGA KUIVAA AZAM UWANJA WA TAIFA KESHO JUMAPILI

Kikosi cha Young Africans Sports Club. Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara litafunguliwa kesho kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa Young Africans kucheza na timu ya Azam FC kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majia ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Young Africans ambayo imekua na rekodi ya kufanya vizuri katika michezo ya Ngao ya Jamii, itashuka dimbani kupambana na wana lambalamba Azam FC huku ikiwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Coutinho amfunika Jaja

Kiungo mpya  wa Yanga, Mbrazil Andrey Coutinho amemfunika mwenzake Genilson Santos ‘Jaja’ kwa umahiri wa kupachika mabao katika mazoezi ya timu hiyo yanayoendelea kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

Jaja amvaa Coutinho mazoezini

Mshambuliaji wa Yanga,Genilson Santana Santos ‘Jaja’ Na Goodluck Ngai na Said Ally
WACHEZAJI wa timu ya Yanga, mshambuliaji Genilson Santana Santos ‘Jaja’ na kiungo Andrey Coutinho mwishoni mwa wiki iliyopita walijikuta wakiwa kwenye wakati wa kutoelewana baada ya mmoja kutegea.
Jaja na Coutinho ni wachezaji waliotua kuitumikia Yanga wakitokea nchini Brazil. Katika mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja...

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo awatetea Coutinho, Jaja

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewatetea nyota wake wawili kutoka Brazil, Andrey Coutinho, Santos Santana ‘Jaja’ kwa kusema ni wachezaji wazuri, na kama mnataka taarifa zao nendeni kwenye mtandao wa You Tube, mtaziona.

 

10 years ago

Mwananchi

Jaja, Coutinho viwango shaka

Mshambuliaji wa zamani wa Simba na Yanga, Zamoyoni Mogella ameishangaa Yanga kutumia fedha nyingi kusajili wachezaji wa Kibrazili wenye viwango vya kawaida.

 

10 years ago

Vijimambo

MABONDIA VICENT MBILINYI NA SAID MUNDI WA TANGA KUPIGANA KESHO UWANJA WA NDANI WA TAIFA


Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akitunishiana misuli na Said Mundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpaqmbano wao wa kesho jumamosi utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa mpambano wa raundi sita Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akipozi kigagwe na Said Mundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya juni 6 katika uwanja wa ndani wa taifa Bondia Vicent Mbilinyi akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Said Mundi wa Tanga kushoto ni mratibu wa mpambano...

 

11 years ago

GPL

Jaja, Coutinho wapewa nyumba Uswazi

Mshambuliaji  wa Yanga SC, Geilson Santana ‘Jaja’. Na Mwandishi Wetu
WACHEZAJI wawili wa Yanga, raia wa Brazil, wameushangaza uongozi wa klabu hiyo baada ya kusema wanataka kuishi eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam. Kiungo Andrey Coutinho na mshambuliaji Geilson Santana ‘Jaja’, wameuambia uongozi wa Yanga wasingependa kuishi sehemu ambazo zinajumuisha matajiri au zinazoonekana za...

 

11 years ago

GPL

Jaja, Coutinho waanza maisha Kariakoo

Mshambuliaji wa yanga Andrey Coutinho.
Na Mwandishi Wetu
UONGOZI wa Yanga umekamilisha kila kitu kuhusiana na nyumba watakayoishi washambuliaji wake Jaja na Coutinho raia wa Brazil eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam. Jaja na Coutinho waliuomba uongozi wa Yanga waishi Kariakoo karibu na makao makuu ya klabu yao badala ya kupelekwa kwa ‘wanene’, Masaki au Oysterbay.Habari za uhakika zinasema tayari Yanga...

 

10 years ago

GPL

Jaja, Coutinho wapewa siri kuiua Simba

Mshambuliaji wa Yanga, Geilson Santana 'Jaja'. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, ameonekana kupania timu yake iwafunge wapinzani wake Simba mabao mengi, baada ya kuonekana akiiongezea mbinu safu yake ya ushambuliaji kwenye mazoezi yake. Hiyo ni baada ya kuiona safu ya ulinzi ya watani wao wa jadi, Simba haipo imara kwenye mechi zake tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara ilizozicheza.Safu… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani