Jaja, Coutinho wapewa nyumba Uswazi
![](http://api.ning.com:80/files/V0siS8-FppA5xhmXWQp*K2Gce9B27piAx0w8OfmwyUK4Qmix8HdIp0eM0o7yE*c49FQTzvUZTTOB4B514ss5TKah7mHSIVww/1.gif?width=650)
Mshambuliaji wa Yanga SC, Geilson Santana ‘Jaja’. Na Mwandishi Wetu WACHEZAJI wawili wa Yanga, raia wa Brazil, wameushangaza uongozi wa klabu hiyo baada ya kusema wanataka kuishi eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam. Kiungo Andrey Coutinho na mshambuliaji Geilson Santana ‘Jaja’, wameuambia uongozi wa Yanga wasingependa kuishi sehemu ambazo zinajumuisha matajiri au zinazoonekana za...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dy9ynGgwNlSY4wfuKIdtsPs-d*iUYIecvp5G-bkVw4o2XjxXGQ3Vk2Hen85cwOieaFEOv0RgPhqQF9EfCyKtMK8nCmSti2hs/jaja.jpg)
Jaja, Coutinho wapewa siri kuiua Simba
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Coutinho amfunika Jaja
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W1m8cWlE8EWGiGEgIvUxmEQSI6hkSTV7KsA23h4YVWMh8byHZRdNKa99v1gAJjGTyny8pfZQkQZjSj5-xEkpM4Y/jaja.jpg)
Jaja amvaa Coutinho mazoezini
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Maximo awatetea Coutinho, Jaja
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Jaja, Coutinho viwango shaka
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lu8a2-fLGRlzcQ8FvQePU7zf1coBvLX5WivFImEeoRdvC8L16krwx6JJoXZazU6y-c1s6hnMmVKMw8zi4OZISrqct9Ulgkim/jaja.jpg)
Jaja, Coutinho waanza maisha Kariakoo
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Vitu vya Coutinho, Jaja Uwanja wa Taifa kesho
TIMU ya Yanga kesho itashuka katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Thika Utd ya Kenya, ikiwa ni mara ya kwanza...
10 years ago
Vijimambo15 Dec
JAJA, COUTINHO, EMERSON WADHIHIRISHA SI KILA MBRAZIL ANAJUA KUCHEZA MPIRA…KIIZA BADO ‘KIDUME’
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/HMB_6496.jpg)
YANGA SC wamekuwa wateja wa Simba katika mechi mbili za ‘Nani Mtani Jembe’.Desemba 21 mwaka jana walifungwa mabao 3-1 na Mnyama Simba na jana walitandikwa mabao 2-0.Katika mechi ya jana, wachezaji wa kigeni wa Yanga walikuwa Emerson Oliveira, Andrey Coutinho, Kpah Sherman, Mbuyu Twite na Haruna Niyonzima.Hamis Friday Kiiza tayari walishamtoa, lakini cha kuwashauri Yanga ni kufanya kila wawezalo kumbakisha Mganda huyu kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa...
9 years ago
Habarileo14 Aug
Wasanii 16 wapewa nyumba ‘kijijini’
MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umegawa nyumba nyingine 16 kwa wanachama wake waliokamilisha ujenzi ambako mpaka sasa wanachama 120 wamekabidhiwa nyumba zao katika kijiji cha Wasanii cha Mwanzega, Mkuranga.